Zijue sheria ''mama' za infidelity...


Don worry....nipo likizo ya malipo...hadi mwezi desemba!
 

Don worry....nipo likizo ya malipo...hadi mwezi desemba!

Uzuri ni kwamba kwa mwaka mtu unaweza kuchukua likizo zaidi ya mara nne kwahiyo hakiharibiki kitu likizo zote unapewa posho
 
HA HA HA HA!
the king is back!

HABARR ZEEENU BANAAAAAAAAAAAAA
 
Fidel80, Teamo, Kaizer, Asprin, Masanilo, Bigirita nimesikia mmevua magamba kwa ISC
 

hii thread hatari sana, nikiri sikuisoma! it brings various impressions and feelings!! sijui nitetemeke!! duhuuuuu
 
Nyie watu nimecheka mpaka watoto wamezunguka hapa kuangalia mama nacheka nini nikayeyusha. Hivi kweli huyu Mungu anawaangalia tu, siku moja lazima muumbuke. Mie simo ila ni nyakati za mwisho Asprin, Teamo mtakamatwa. Haya mtanambia.
 
Dah bora mmeirudisha tuendelee kukumbushana!
Nakumbuka povu la humu halikua la kitoto.
 
Sheria hii isipokuwepo hizo nyingine ni batili: Hata kama unafumaniwa live...ukiulizwa lazima ukane huku macho yakiwa makavuuu.... It was not Me!!!!!!!!!!!!!.
 
hivi bado mnapokea members wapya?naombeni ilani ya chama (kingo kama kawa) nifanye maamuzi mazito..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…