Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Poa vipi hali yako.....
......
btw hivi nyie akina Asprin,The finest na wwe Roya kwani hamna kazi nyie? hawa waajiri wenu kweli wamekula hasara.Kwa sabbu kama infidelity mnafanya mchana,na muda mwingine mnaitetea hapa mnapata wapi muda wa kazi?Nashangaa sana...

Don worry....nipo likizo ya malipo...hadi mwezi desemba!
 
HA HA HA HA!
the king is back!

HABARR ZEEENU BANAAAAAAAAAAAAA
 
Fidel80, Teamo, Kaizer, Asprin, Masanilo, Bigirita nimesikia mmevua magamba kwa ISC
 
well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

4-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)

5-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')

6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).

7-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO

8-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.

9-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).

10-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu

11-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!

12-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.

13-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.

ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!

kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......

hii thread hatari sana, nikiri sikuisoma! it brings various impressions and feelings!! sijui nitetemeke!! duhuuuuu
 
Nyie watu nimecheka mpaka watoto wamezunguka hapa kuangalia mama nacheka nini nikayeyusha. Hivi kweli huyu Mungu anawaangalia tu, siku moja lazima muumbuke. Mie simo ila ni nyakati za mwisho Asprin, Teamo mtakamatwa. Haya mtanambia.
 
Dah bora mmeirudisha tuendelee kukumbushana!
Nakumbuka povu la humu halikua la kitoto.
 
Sheria hii isipokuwepo hizo nyingine ni batili: Hata kama unafumaniwa live...ukiulizwa lazima ukane huku macho yakiwa makavuuu.... It was not Me!!!!!!!!!!!!!.
 
hivi bado mnapokea members wapya?naombeni ilani ya chama (kingo kama kawa) nifanye maamuzi mazito..
 
Back
Top Bottom