The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
siwavunjii heshima,lakn huu uzembe wa ku-care wake zenu ndio unaowapelekea kupromote infidelity.laana ya uzembe mbaya sana....
Nitafute jioni pale ZERO PUB tudumishe mila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siwavunjii heshima,lakn huu uzembe wa ku-care wake zenu ndio unaowapelekea kupromote infidelity.laana ya uzembe mbaya sana....
Poa vipi hali yako.....
......
btw hivi nyie akina Asprin,The finest na wwe Roya kwani hamna kazi nyie? hawa waajiri wenu kweli wamekula hasara.Kwa sabbu kama infidelity mnafanya mchana,na muda mwingine mnaitetea hapa mnapata wapi muda wa kazi?Nashangaa sana...
Don worry....nipo likizo ya malipo...hadi mwezi desemba!
ha ha ha ha!
The king is back!
Habarr zeeenu banaaaaaaaaaaaaa
HA HA HA HA!
the king is back!
HABARR ZEEENU BANAAAAAAAAAAAAA
Mufalme ya wafalme...kuna sheria mama nyingine?
Ni ijumaa tukumbushane sheria kabla ya kwenda ku du the nidful na wapwazz
Fidel80, Teamo, Kaizer, Asprin, Masanilo, Bigirita nimesikia mmevua magamba kwa ISC
Ngoja nimtafute mfadhili athibitishe habari hiziThats act calling....you have been notified and warned accordingly!
<br />Fidel80, Teamo, Kaizer, Asprin, Masanilo, Bigirita nimesikia mmevua magamba kwa ISC
Lol!!!<br />
<br />
Kwa visa wewe hueshi kila mara..
well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100
2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)
3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
4-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)
5-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')
6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).
7-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO
8-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.
9-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).
10-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu
11-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!
12-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanalazimika(kwa hali na mali) kuwa na simu zaidi ya moja...!hasa hasa wanapaswa kuwa na simu moja HOT-LINE itakayokuwa fixed ofisini au eneo lako la kazi.Simu hiyo itatumika kwa ajili ya taratibu zote za infidelity(hapa ni mambo ya promises,appointments na kujuliana hali).kwa kufanya hivyo sheria tajwa namba 8 itakuwa inatekelezeka.
13-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kulindana,kutunziana heshima,kutunziana siri.ni marufuku kuzianika taarifa za infidelator/infideletee kwenye chombo chochote kile cha habari au mitandao.
ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!
kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......