Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Smiles,
Hapa (blue) unaongea kama SHE au HE??
Kama ni hiyo ya kwanza basi ujumbe umefika, kwani big NO ya hao wadau maana yake taa zote GREEN!!
Labda ndo maana naona waheshimiwa wameshakaa mkao wa kula a.k.a kutafuna...uko tayari mama?
RR upo...??....kazi kwako, ushindwe mwenyewe...ila ukumbuke kuwa msaada wa wadau huwa uko mikononi mwako kwa 199%!!!
Bon chance'......!!!!
Babu DC!!
Yes dear.......
hahahahahah!!!
Mbona nahisi kama natishiwa maisha hapa.....! Dark City Haina shida lakini....mi niko tayari kwa mapambano! Bring it on!
Kwani wewe Smiles,
Dear = Darling???
Naomba msaada hapwa kwa kuwa dictionary yangu inakaribia ku-expire......Nataka nimpe ushauri wa busara mjukuu wangu The Finest!!
Babu DC!!
Safi sana Smiles,
Huwa sina wasi wasi na nyie mkishaga amua.....!!
Unanikimbusha enzi zetu...unamtorosha mtu home kwa kurusha jiwe kwenye bati usiku....anawaacha wazazi wamelala na kurudi home salama kana kwamba nothing happened!!
Haki ya nani ujana ni "MTAMU SANA"!!!!
Babu DC!!
Wewe Smiles,
Hapa (blue) unaongea kama SHE au HE??
Kama ni hiyo ya kwanza basi ujumbe umefika, kwani big NO ya hao wadau maana yake taa zote GREEN!!
Labda ndo maana naona waheshimiwa wameshakaa mkao wa kula a.k.a kutafuna...uko tayari mama?
RR upo...??....kazi kwako, ushindwe mwenyewe...ila ukumbuke kuwa msaada wa wadau huwa uko mikononi mwako kwa 199%!!!
Bon chance'......!!!!
Babu DC!!
Basi mwenyewe unaona unanitiiisha hapo!! Nakuja katibu!
Duuuuuuuuuuuuuu,
Sikujua kama ingekuwa rahisi kiasi hicho.....Kama ningejua ni hivi, hata mie mwenyewe na uzee wangu ningejaribu wallahi!!
Haya bwana...Bahati ya mwenzio......!!
Babu DC!!
Avatar....from middle to top.... (pm)
Avatar....from middle to bottom....(pm)
Babu mwenzangu Dark City kaa kando angalia tu
wazinzi wanatiana moyo hapa eeeeh mi simo
Avatar....from middle to top.... (pm)
Avatar....from middle to bottom....(pm)
Babu mwenzangu Dark City kaa kando angalia tu
Mkuu @RR,
Mie nilishanyoosha mikono,........Kwanza hata meno yenyewe sina na pension karibia inakatika...!!
Halafu huyu Smile (half to bottom) anayetuita wazinzi ana kesi kubwa kama wale wayahudi waliomuu teacher....
Kama hata kuja hapa kuomba radhi shauri yake!!
Babu DCC
Eish.......
Mbona nimekuja umenikimbia katibu.....?
Sasa hapo naona pacha wangu ana maelezo ya kutoa.... inaelekea nimemiss vingi mno nilivyokuwa 'maternity'!!!
hahahhaha:tongue:
Eish.......
Mbona nimekuja umenikimbia katibu.....?
Sasa hapo naona pacha wangu ana maelezo ya kutoa.... inaelekea nimemiss vingi mno nilivyokuwa 'maternity'!!!
hahahhaha:tongue: