Zijue sheria ''mama' za infidelity...

hahahahahah!!!
Mbona nahisi kama natishiwa maisha hapa.....! Dark City Haina shida lakini....mi niko tayari kwa mapambano! Bring it on!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah!!!
Mbona nahisi kama natishiwa maisha hapa.....! Dark City Haina shida lakini....mi niko tayari kwa mapambano! Bring it on!

Safi sana Smiles,

Huwa sina wasi wasi na nyie mkishaga amua.....!!

Unanikimbusha enzi zetu...unamtorosha mtu home kwa kurusha jiwe kwenye bati usiku....anawaacha wazazi wamelala na kurudi home salama kana kwamba nothing happened!!

Haki ya nani ujana ni "MTAMU SANA"!!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe Smiles,

Dear = Darling???

Naomba msaada hapwa kwa kuwa dictionary yangu inakaribia ku-expire......Nataka nimpe ushauri wa busara mjukuu wangu The Finest!!

Babu DC!!

Sasa babu hebu katika hili tulia kidogo.... niachie The Finest ni-deal naye mwenyewe!:tongue:
Dictionary utapata tukishafikia muafaka sawa eeeh....

Umeona eeh......
 
Last edited by a moderator:

@Dark City , salute!
Huyu Smiles ni moto wa kifuu....unawaka sanaaaa....dakika mbili tu! Hebu kaeni kando nitete nae kidogo (kikatibu)...... Smiles ukuje tutete.....
 
@Dark City , salute!
Huyu Smiles ni moto wa kifuu....unawaka sanaaaa....dakika mbili tu! Hebu kaeni kando nitete nae kidogo (kikatibu)...... Smiles ukuje tutete.....

Basi mwenyewe unaona unanitiiisha hapo!! Nakuja katibu!

Duuuuuuuuuuuuuu,

Sikujua kama ingekuwa rahisi kiasi hicho.....Kama ningejua ni hivi, hata mie mwenyewe na uzee wangu ningejaribu wallahi!!

Haya bwana...Bahati ya mwenzio......!!

Babu DC!!
 
Duuuuuuuuuuuuuu,

Sikujua kama ingekuwa rahisi kiasi hicho.....Kama ningejua ni hivi, hata mie mwenyewe na uzee wangu ningejaribu wallahi!!

Haya bwana...Bahati ya mwenzio......!!

Babu DC!!

hahahahah Dark City sasa bahati yake hapo ni nini labda kwa mfano.....?!!
 
Last edited by a moderator:
wazinzi wanatiana moyo hapa eeeeh mi simo
 
Avatar....from middle to top.... (pm)

Avatar....from middle to bottom....(pm)

Babu mwenzangu Dark City kaa kando angalia tu

Mkuu RR,

Mie nilishanyoosha mikono,........Kwanza hata meno yenyewe sina na pension karibia inakatika...!!

Halafu huyu Smile (half to bottom) anayetuita wazinzi ana kesi kubwa kama wale wayahudi waliomuu teacher....

Kama hata kuja hapa kuomba radhi shauri yake!!

Babu DCC
 
Last edited by a moderator:
wazinzi wanatiana moyo hapa eeeeh mi simo

Eish.......

Avatar....from middle to top.... (pm)

Avatar....from middle to bottom....(pm)

Babu mwenzangu Dark City kaa kando angalia tu

Mbona nimekuja umenikimbia katibu.....?

Sasa hapo naona pacha wangu ana maelezo ya kutoa.... inaelekea nimemiss vingi mno nilivyokuwa 'maternity'!!!
hahahhaha:tongue:
 
Eish.......

Mbona nimekuja umenikimbia katibu.....?

Sasa hapo naona pacha wangu ana maelezo ya kutoa.... inaelekea nimemiss vingi mno nilivyokuwa 'maternity'!!!
hahahhaha:tongue:

Kumbe ulishavimbishwa Smiles?

Hongera sana mjukuu wangu...

Naamini sasa wewe ni mtu tofauti kabisa na hizi toto za mtaani...

Unajua mbichi na mbivu kwa kweli.

Karibu sana kwenye club ya kulea (investment ambayo ni ngumu kujua lini italipa)!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hapa kuna nini hapa....
Smiles.........jambo binti.

sharing is caring.....start here.
 
Last edited by a moderator:
@Smiles RR anakupendaga? bila masharti....

Eish.......

Mbona nimekuja umenikimbia katibu.....?

Sasa hapo naona pacha wangu ana maelezo ya kutoa.... inaelekea nimemiss vingi mno nilivyokuwa 'maternity'!!!
hahahhaha:tongue:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…