Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Tumeishia kwenye swali hili....kama rule # 2 inasema kizuri kula na nduguyo...sasa kibaya utakula na nani? Ukizingatia infii wote ni ndugu...
Hiyo haipo katika rules zetu! Hakuna infii anayechukua kitu kibaya!! Anayechukua kitu kibaya siyo mwanachama wetu!
 
Hiyo haipo katika rules zetu! Hakuna infii anayechukua kitu kibaya!! Anayechukua kitu kibaya siyo mwanachama wetu!
happy.gif
happy.gif
happy.gif
happy.gif
happy.gif
 
Hiyo haipo katika rules zetu! Hakuna infii anayechukua kitu kibaya!! Anayechukua kitu kibaya siyo mwanachama wetu!

Kwa hiyo Infii akichukua kibaya basi anakua amejiondoa chamani automatikale?
 
Kwa hiyo ni vyema kama uko kwenye ndoa utarajie mwenzako kutoka nje ya ndoa yenu. Na hii ni kwa wote, wake na waume. Mke tarajia mumeo kumega nje na mume utarajie mkeo kumegwa nje.

Sasa kama wewe huwezi kuhimili adha za kadhia ya mwenzako nje ya ndoa yenu basi nakushauri usioe au kuolewa. Kama kwako hilo si jambo kubwa sana basi jua kuwa kuna wakati litakutokea tu. Likitokea unaweza ujue ama usijue, lakini kaa ukijua kuwa haliepukiki.

The best way ni ku-assume hatoki nje ya ndoa, ili kujipa faraja ya moyo. na hii itakusaidia kuepuka kufanya maupekuzi ya simu yake n.k. Na kama mnasisitiza infidelity haiepukiki, ni bora nisijue kama husband ni infidelitor....................... kujipa pressure bure!
 
This one I couldn't record in minutes...au ni off-kikao??

Actually mwambie mhudumu apunguze safari za kupeleka vinywaji hiyo meza maana wanakupotezea concentration

having said that....tuendelee...am watching....
 
The best way ni ku-assume hatoki nje ya ndoa, ili kujipa faraja ya moyo. na hii itakusaidia kuepuka kufanya maupekuzi ya simu yake n.k. Na kama mnasisitiza infidelity haiepukiki, ni bora nisijue kama husband ni infidelitor....................... kujipa pressure bure!

:welcome::welcome::welcome::welcome:
 
unanikaribusha kambi gani Kaizer? kama ya upinzani, thanx............................

Jamani..JK angeweza kukukaribisha kwa aina mbili...kwanza, kwenye kambi ya chama tawala, pili yeye kama JK nyumbani kwake au popote pale kupata kahawa...sasa hapo nimekukaribisha mimi kofia nimeweka pembeni,....unasemaje>?:welcome:
 
Actually mwambie mhudumu apunguze safari za kupeleka vinywaji hiyo meza maana wanakupotezea concentration

having said that....tuendelee...am watching....

Na mwenyekiti pia macho zaidi...
Mmh...viongozi wakuu on watch-out???
Very interesting...
 
Actually mwambie mhudumu apunguze safari za kupeleka vinywaji hiyo meza maana wanakupotezea concentration

having said that....tuendelee...am watching....

Sawa chairperson....hivi ile list ya agenda si ni unayo???
Hahahahah.... Katibu yupo extra makini!!!

Ajira Smiles...ajira....kama ya ma-rope!
 
Na mwenyekiti pia macho zaidi...
Mmh...viongozi wakuu on watch-out???
Very interesting...

Thats how it should be....ngoja tumalize kikao nina appointment Kipepeo GH:A S 100:
 
Jamani..JK angeweza kukukaribisha kwa aina mbili...kwanza, kwenye kambi ya chama tawala, pili yeye kama JK nyumbani kwake au popote pale kupata kahawa...sasa hapo nimekukaribisha mimi kofia nimeweka pembeni,....unasemaje>?:welcome:

mhhhhhhhhhhhh! mambo ya kuitika wito wakati mkaribishaji kofia kaweka pembeni, yakikukuta usiyoyatarajia? Terms and conditions applies! unatakiwa kuzijua terms na conditions kabla hujakaribia; so ziweke wazi...........
 
Back
Top Bottom