Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hiyo haipo katika rules zetu! Hakuna infii anayechukua kitu kibaya!! Anayechukua kitu kibaya siyo mwanachama wetu!Tumeishia kwenye swali hili....kama rule # 2 inasema kizuri kula na nduguyo...sasa kibaya utakula na nani? Ukizingatia infii wote ni ndugu...