Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Wewe hufahamu nguvu ya mwenyekiti...???:shocked:
Nadhani sasa yatupasa tuangalie katiba inasemaje kuhusu madaraka ya viongozi wakuu. Nikifanya masihara, mwenyekiti hachelewi kukubinafsishia smiles wangu....
 
Viongozi mmeanza kupishana mbele ya wanachama...
 
Ndio manake isije ikawa mchango hujawakilisha chamani jamani......michango muhimu....umeonana na Asprini hapo juu? kama bado fanya fanya basi Smiles...afu unaSmile
 
Mwenyekiti umeamua kukasimu madaraka yangu?:confused2::confused2:

Wewe hufahamu nguvu ya mwenyekiti...???:shocked:

Nadhani sasa yatupasa tuangalie katiba inasemaje kuhusu madaraka ya viongozi wakuu. Nikifanya masihara, mwenyekiti hachelewi kukubinafsishia smiles wangu....

Hapa Sheria namba 3 Inasemaje tena wakuu? usisahau iyo?

haya Asprini chukua mchango kutoka kwa Smiles ila St Roya Roy anaweka kwenye minutes....
Viongozi mmeanza kupishana mbele ya wanachama...
 
ndio manake isije ikawa mchango hujawakilisha chamani jamani......michango muhimu....umeonana na asprini hapo juu? Kama bado fanya fanya basi smiles...afu unasmile
hommie naona uko kikazi zaidi hapo!
 
Nadhani sasa yatupasa tuangalie katiba inasemaje kuhusu madaraka ya viongozi wakuu. Nikifanya masihara, mwenyekiti hachelewi kukubinafsishia smiles wangu....

Heheheh....tena?!
Sasa na yule mchumba inakuwaje...
Au ndio infidelity...mi simo humu!
Mapenzi na avatar yangu nimeamua kuhamishia kwingine...
 
Nadhani sasa yatupasa tuangalie katiba inasemaje kuhusu madaraka ya viongozi wakuu. Nikifanya masihara, mwenyekiti hachelewi kukubinafsishia smiles wangu....

Hiyo ni direct application ya rule 3, ambayo wote tunaikubali....
Viongozi mmeanza kupishana mbele ya wanachama...
Hapana....huu ni mjadala....haikatazwi kuwa na 2nd thought...
 
Hapa Sheria namba 3 Inasemaje tena wakuu? usisahau iyo?

haya Asprini chukua mchango kutoka kwa Smiles ila St Roya Roy anaweka kwenye minutes....
Noted with many thanks sir! Halafu hiyo rule namba 3 inabidi ifanyiwe ammendment kidogo... Kuna vizuri na vizuri LOL
 
Mmmmh maombi yanaendelea

smiles usisikilize blah blah za wapinzani naomba urudi huku chama pinzani

narudi kwenye maombi.
 
Hiyo ni direct application ya rule 3, ambayo wote tunaikubali....

Hapana....huu ni mjadala....haikatazwi kuwa na 2nd thought...
Kwa lugha ya chama chetu, naomba hapo kwenye bold pasomeke PLAN B:welcome:
 
Hapa Sheria namba 3 Inasemaje tena wakuu? usisahau iyo?

haya Asprini chukua mchango kutoka kwa Smiles ila St Roya Roy anaweka kwenye minutes....

Not applicable...
Mchango wangu unaenda kambi ya UPINZANI...
"Herufi kubwa kuonesha msisitizo..."
 
Hivi Augustine Mrema naye si ni mpinzani? NOTED! haya mchango wako tafadhali, toka huko CCJ tulikokutuma tafadhali.
 
Mmmmh maombi yanaendelea

smiles usisikilize blah blah za wapinzani naomba urudi huku chama pinzani

narudi kwenye maombi.

Karibu sana LF....karibu sana....i woander kama naruhusiwa kushiriki nawe katika maombi...:A S 8:

Kwa lugha ya chama chetu, naomba hapo kwenye bold pasomeke PLAN B:welcome:
Plan B, Plan c etc...recorded!
 
Back
Top Bottom