Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
si nimekupa upeleke kwa mkuu, kwanini nisikupe? kwani nikikupa utalewa?
:confused2::confused2::coffee::coffee::tongue1::bathbaby::violin:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si nimekupa upeleke kwa mkuu, kwanini nisikupe? kwani nikikupa utalewa?
Unfortunately siqualify bado Roya.........
:becky::becky::becky::becky:
Nisipokuwa makini sitachomoka hapa lol
Usiwe na wasi, babuyo nipo nitakulinda!!
Kikazi mkuu....kikazi..Hapo SG unakikosesha chama mapato!! Au uko kikazi?
*He He He*
:welcome::welcome::welcome:Don worry.....setifiketi yako iko tayari....
Uchomoke ili iweje???
Nadhani si zaidi ya ulinzi...
Kikazi mkuu....kikazi..
Well......:confused2:
Roya nshaambiwa kwenye sheria namba sijui ngapi kuwa nikiinfidelate wakati sina ndoa nitakuwa nazini so setifiketi unanipaje?? Mie sipendi upendeleo!!
Mjukuu rejea kifungu kidogo ibara ya tatu...wewe una setifiketi ya kudeal na viongozi waandamizi:A S 8::A S 8:Roya nshaambiwa kwenye sheria namba sijui ngapi kuwa nikiinfidelate wakati sina ndoa nitakuwa nazini so setifiketi unanipaje?? Mie sipendi upendeleo!!
Mjukuu rejea kifungu kidogo ibara ya tatu...wewe una setifiketi ya kudeal na viongozi waandamizi:A S 8::A S 8:
Roya nshaambiwa kwenye sheria namba sijui ngapi kuwa nikiinfidelate wakati sina ndoa nitakuwa nazini so setifiketi unanipaje?? Mie sipendi upendeleo!!
:confused2::confused2::confused2:Hujamwelewa mweka hazina??
Viongozi wakuu wana exemption ya sheria hiyo....so don worry bana...we jichagulie tu....Mwenyekiti (ila naona yuko bize sana), Katibu (available) na Mweka Hazina (nadhan ni babu yako)...
:confused2::confused2::confused2:
Au nimekosea ndugu mweka hazina....
hahaha!
AMANI KWAKO MWANAJAMII....!
kwa hiyo setifiketi uliyotunukiwa ''YA KUDEAL NA VIONGOZI TU''.....!hatimae nimeelewa ni kwanini SIJAWEKWA KWENYE PANELI YA UONGOZI!
nitapigania kufa na kupona uwe memba mwenye setifiketi za kawaida ili sheria namba tatu IMTENDEE HAKI KILA MMOJA WETU!...:becky::becky:
Mi nadhani njia rahisi ni kuongea na uongozi ili tukutafutie KAUONGOZI hata ka ukatibu mwenezi ili unufaike na huu upendeleo
hahahahaha!.......Mi nadhani njia rahisi ni kuongea na uongozi ili tukutafutie KAUONGOZI hata ka ukatibu mwenezi ili unufaike na huu upendeleo
hahahahaha!.......
kama kuna VITI MAALUMU FANYENI UTARATIBU!
maanake hayo ''marupurupu'' naona viongozi mnaneemeka wenyewe tu
Nimegundua kuna nafasi moja bado haijajazwa....MSEMAJI WA CHAMA. ngoja nimtafute mwenyekiti... Kwa hiyo tutakuwa wanne tu tunaonufaika na huu upendeleo. Tukutane Zero pub leo tukuapishe!
Mi nadhani njia rahisi ni kuongea na uongozi ili tukutafutie KAUONGOZI hata ka ukatibu mwenezi ili unufaike na huu upendeleo