Mtu mwenye mafanikio kiuchumi (tajiri) ana sifa tatu tu!
1. Anaweka akiba zaidi ya 20% ya mapato yake.
Yaani Account inasoma.
2. Amewekeza (investment) zaida ya 30% ya Mali zake, yaani Mali kuzaa mali
Anaweza kaa zaid ya miezi 6 bila kazi Ila pesa inaingia na maisha yanaenda bila shida.
3.hana deni!
Kumbuka mkopo ni mtaji sio deni
Biashara na mwenye biashara ni vitu wiwili tofauti!
Hizo ndo sifa za first class!
Ndugu wana jf kama huna sifa hizo ujue upo kwenye kundi la watu masikini na bado unasafar ndefu kufikia kuitwa mtu mwenye mafanikio kiuchumi!
Jitambue we masikini au tajiri!
Hayo makadilio yako mabovu sanaaa... Investment za watu waliofanikiwa sana ni karibu 85% ya mali zao zote (hizo 15% ni vitu binafsi kama nyumba na magari)Mtu mwenye mafanikio kiuchumi (tajiri) ana sifa tatu tu!
1. Anaweka akiba zaidi ya 20% ya mapato yake.
Yaani Account inasoma.
2. Amewekeza (investment) zaida ya 30% ya Mali zake, yaani Mali kuzaa mali
Anaweza kaa zaid ya miezi 6 bila kazi Ila pesa inaingia na maisha yanaenda bila shida.
3.hana deni!
Kumbuka mkopo ni mtaji sio deni
Biashara na mwenye biashara ni vitu wiwili tofauti!
Hizo ndo sifa za first class!
Ndugu wana jf kama huna sifa hizo ujue upo kwenye kundi la watu masikini na bado unasafar ndefu kufikia kuitwa mtu mwenye mafanikio kiuchumi!
Jitambue we masikini au tajiri!
Nimekusoma kaka1. Hana maisha yake wala maamuzi yake, akili yake kamkabidhi mwanasiasa, kiongozi wa dini au tajiri
2.Hana ratiba yoyote, muda wowote ukimwambia kesho kuna maandamano ya kuvamia polisi anakuja
3.Ana chuki kaliiiii na watu bila sababu
Hahaaa mkuu humu ili ueleweke njoo na Flip chart na maker pen kabisa. make Watanzania wenzangu mpaka wakuelewe sio kazi ndogoHili jukwaa waachie wanauchumi wachangie!
Ukope benki then ukajenge nyumba ya kuishi kiuchumi utakuwa na akili timamu kweli?
Mkopo unaoenda kuzalisha kiuchumi tunauita mtaji.hakuna tajiri asiekuwa na mkopo mkuu na dhumuni la mkopo ni kukuza biashara na kuongeza faida.........nikukumbushe tu hakuna nchi isiyodaiwa hata Marekani inadaiwa kwa hiyo unamaanisha hakuna nchi tajiri zote ni masikini kama Tanzania!
Naam bado maskiniMi naweza namba 1 na namba 3.
Je, bado niko kwenye kundi la masikini,??
Mkopo kwa ajili ya uzalishaji unaitwa mtaji, ndo maana hata makampuni makubwa yanadaiwa mfano azam, TBL, nkHayo mawili nakubaliana nayo ila la mkopo mmh..
Kafanye utafit upya, ukisema 85% wamewekeza, 15% matumiz ni sio sahh 85% ni kubwa sana!Hayo makadilio yako mabovu sanaaa... Investment za watu waliofanikiwa sana ni karibu 85% ya mali zao zote (hizo 15% ni vitu binafsi kama nyumba na magari)
Wana tabia moja inaitwa "conscious recklessness" karibu fedha zote walizonazo ni akiba, huwa hawatumii fedha bila sababu ya msingi.
Wachache sana wanatumia mgawanyo wa asilimia katika mipango yao. Kwa ufupi hupangilia fedha zao kulingana na mapato yao wakiaangalia zaidi kesho. Aliyefanikwa anaweza kupata 1m yote akaifanya akiba kwasababu alikua na kiasi fulani mfukoni kwa matumizi ya kawaida, hivyo si sahihi sana kusema wanaweka akiba asilimia fulani.
Japo sijaajiriw lkn sio kweliumesahau, huwezi kuwa tajiri kwa kukodisha nguvu zako kwa mshahara, kama umeajiriwa sijui vodacom, tra, bandarini, halmashauri ujue utajiri utausikia,!
Kama wewe sio mchumi bora ukae pembeniHana deni?? Si kweli waliofanikiwa wana madeni makubwa wakati mwingine kuliko mali zao
Kwa level ya dunia!Japo sijaajiriw lkn sio kweli
Microsoft imetengeneza mabilionea 1000 marekan hawa wote wameajiriwa na wanakodisha nguvu zao sema inadepend na akili za MTU tu
Kasema ple juu lkn "mkopo ni mtaji co deni" na "kuna tofauti kati ya biashara na mwenye biashara"hakuna tajiri asiekuwa na mkopo mkuu na dhumuni la mkopo ni kukuza biashara na kuongeza faida.........nikukumbushe tu hakuna nchi isiyodaiwa hata Marekani inadaiwa kwa hiyo unamaanisha hakuna nchi tajiri zote ni masikini kama Tanzania!