Zijue Sifa 3 Za Successful Person Kiuchumi

Zijue Sifa 3 Za Successful Person Kiuchumi

Mtu mwenye mafanikio kiuchumi (tajiri) ana sifa tatu tu!
1. Anaweka akiba zaidi ya 20% ya mapato yake.
Yaani Account inasoma.
2. Amewekeza (investment) zaida ya 30% ya Mali zake, yaani Mali kuzaa mali
Anaweza kaa zaid ya miezi 6 bila kazi Ila pesa inaingia na maisha yanaenda bila shida.
3.hana deni!
Kumbuka mkopo ni mtaji sio deni
Biashara na mwenye biashara ni vitu wiwili tofauti!

Hizo ndo sifa za first class!
Ndugu wana jf kama huna sifa hizo ujue upo kwenye kundi la watu masikini na bado unasafar ndefu kufikia kuitwa mtu mwenye mafanikio kiuchumi!
Jitambue we masikini au tajiri!

unaakili ila sijui kama unalijua hiloo.
 
Hayo makadilio yako mabovu sanaaa... Investment za watu waliofanikiwa sana ni karibu 85% ya mali zao zote (hizo 15% ni vitu binafsi kama nyumba na magari)

Wana tabia moja inaitwa "conscious recklessness" karibu fedha zote walizonazo ni akiba, huwa hawatumii fedha bila sababu ya msingi.

Wachache sana wanatumia mgawanyo wa asilimia katika mipango yao. Kwa ufupi hupangilia fedha zao kulingana na mapato yao wakiaangalia zaidi kesho. Aliyefanikwa anaweza kupata 1m yote akaifanya akiba kwasababu alikua na kiasi fulani mfukoni kwa matumizi ya kawaida, hivyo si sahihi sana kusema wanaweka akiba asilimia fulani.
 
1. Hana maisha yake wala maamuzi yake, akili yake kamkabidhi mwanasiasa, kiongozi wa dini au tajiri

2.Hana ratiba yoyote, muda wowote ukimwambia kesho kuna maandamano ya kuvamia polisi anakuja

3.Ana chuki kaliiiii na watu bila sababu
Nimekusoma kaka
 
Hili jukwaa waachie wanauchumi wachangie!
Ukope benki then ukajenge nyumba ya kuishi kiuchumi utakuwa na akili timamu kweli?
Hahaaa mkuu humu ili ueleweke njoo na Flip chart na maker pen kabisa. make Watanzania wenzangu mpaka wakuelewe sio kazi ndogo
 
hakuna tajiri asiekuwa na mkopo mkuu na dhumuni la mkopo ni kukuza biashara na kuongeza faida.........nikukumbushe tu hakuna nchi isiyodaiwa hata Marekani inadaiwa kwa hiyo unamaanisha hakuna nchi tajiri zote ni masikini kama Tanzania!
Mkopo unaoenda kuzalisha kiuchumi tunauita mtaji.
Mkopo unaoenda kutumia matumiz binafsi ni deni au mzigo (burden)!
 
Mi naweza namba 1 na namba 3.

Je, bado niko kwenye kundi la masikini,??
Naam bado maskini
Kwa maana umekosa kigezo kikubwa na 2,
Kama umeweza kusave jitahid ujue na kuinvest
Bora ukanunua hata hisa tu uwe sehemu ya umilik Wa kampun
 
Hayo mawili nakubaliana nayo ila la mkopo mmh..
Mkopo kwa ajili ya uzalishaji unaitwa mtaji, ndo maana hata makampuni makubwa yanadaiwa mfano azam, TBL, nk
Madeni ya kimaskini mfano unakopa pesa unajenga nyumba ya ww kuish, mkopo Wa unga, mkaa, mkopo Wa gar bnafs, mkopo Wa mavazi nk
 
Mlongo sana ww mtoa post,kama huna uhakika na kitu piga kimya
 
umesahau, huwezi kuwa tajiri kwa kukodisha nguvu zako kwa mshahara, kama umeajiriwa sijui vodacom, tra, bandarini, halmashauri ujue utajiri utausikia,!
 
Hayo makadilio yako mabovu sanaaa... Investment za watu waliofanikiwa sana ni karibu 85% ya mali zao zote (hizo 15% ni vitu binafsi kama nyumba na magari)

Wana tabia moja inaitwa "conscious recklessness" karibu fedha zote walizonazo ni akiba, huwa hawatumii fedha bila sababu ya msingi.

Wachache sana wanatumia mgawanyo wa asilimia katika mipango yao. Kwa ufupi hupangilia fedha zao kulingana na mapato yao wakiaangalia zaidi kesho. Aliyefanikwa anaweza kupata 1m yote akaifanya akiba kwasababu alikua na kiasi fulani mfukoni kwa matumizi ya kawaida, hivyo si sahihi sana kusema wanaweka akiba asilimia fulani.
Kafanye utafit upya, ukisema 85% wamewekeza, 15% matumiz ni sio sahh 85% ni kubwa sana!
Maanayake pesa zake zote zipo kwenye uzalishaj, akaunt zake hazisomi
Hvyo mtu billionaire anakuwa hana hata billion1 kwenye account zake jambo ambalo si kweli
 
umesahau, huwezi kuwa tajiri kwa kukodisha nguvu zako kwa mshahara, kama umeajiriwa sijui vodacom, tra, bandarini, halmashauri ujue utajiri utausikia,!
Japo sijaajiriw lkn sio kweli
Microsoft imetengeneza mabilionea 1000 marekan hawa wote wameajiriwa na wanakodisha nguvu zao sema inadepend na akili za MTU tu
 
Hana deni?? Si kweli waliofanikiwa wana madeni makubwa wakati mwingine kuliko mali zao
Kama wewe sio mchumi bora ukae pembeni
Tajir awe deni kubwa? Toa mfano Wa deni
Mfano azam kama inadiwa billion 10,
Hilo sio den LA bakressa Bali ni LA azam kama kampuni
Azam na backresa ni vitu viwili tofaut
 
Matajajiri wengi wamepata hela kwa risk,wengine wapigaji,walikuwa majambazi, walikwepa kodi za mabilioni,huo utajiri wa kanuni hauaply sana ndugu yangu,hebu tafuta tajiri.mmoja muulize alipata wapi pesa bana
 
Hakuna tofauti kati ya deni la Azam na Bhakresa,kama mwenyekampuni yy ndo anaweka dhamana bank kupata mkopo
 
Japo sijaajiriw lkn sio kweli
Microsoft imetengeneza mabilionea 1000 marekan hawa wote wameajiriwa na wanakodisha nguvu zao sema inadepend na akili za MTU tu
Kwa level ya dunia!
Hakuna tajir aliye ajiriwa
Ila kuna walio ajiriwa wanawazid kipato walio jiajir!
 
hakuna tajiri asiekuwa na mkopo mkuu na dhumuni la mkopo ni kukuza biashara na kuongeza faida.........nikukumbushe tu hakuna nchi isiyodaiwa hata Marekani inadaiwa kwa hiyo unamaanisha hakuna nchi tajiri zote ni masikini kama Tanzania!
Kasema ple juu lkn "mkopo ni mtaji co deni" na "kuna tofauti kati ya biashara na mwenye biashara"
 
Back
Top Bottom