Zijue Sifa 3 Za Successful Person Kiuchumi

Zijue Sifa 3 Za Successful Person Kiuchumi

Hakuna tofauti kati ya deni la Azam na Bhakresa,kama mwenyekampuni yy ndo anaweka dhamana bank kupata mkopo
Ulivyo na Giza, unadhani dhamana ya mkopo Wa azam ni kama Wa masikin wenzio wanao weka nyumba zao za kuishi!
Azam inajidhamini yenyewe kupitia assets au Mali ilizo nazo, na hata kama kufilisiwa kwa ajili ya deni, zinapigwa mnada Mali za azam sio za bakresa
Stupid!
 
Hujui kampuni inaundwaje na in short kubishana na ww ni kupoteza muda,pengine asset yako ni simu ya kichina uliyonayo,so sorry siwezi kujadiliana na ww
 
Hili jukwaa waachie wanauchumi wachangie!
Ukope benki then ukajenge nyumba ya kuishi kiuchumi utakuwa na akili timamu kweli?
Exactly'.... Mtu mwenye akili timamu hawezi kukopa afu huo mkopo akafanyia kitu ambacho kitamnufaisha yeye kama yeye lakini kisirudishe hata asilimia 50 ya mkopo'... Unapokopa mkopo ambao unatarajia kuurudisha, unauchukulia nafasi mbili, yaan mtaji ukuletee faida na pili mkopo lazima ulipe deni...ivo ni lazima ufanyie kitu cha kurudisha faida na kukupa uwezo wa kulipa deni.
 
Back
Top Bottom