Zijue Sifa za ndege za kivita EF-18 na F-22 F35

Zijue Sifa za ndege za kivita EF-18 na F-22 F35

Kumbuka missile alizorusha US from sea zikaharibu radar sites za Iran kule Yemen, Hv unajua Israel mwez huu pekee kashambulia Syria Mara ngap hzo S400 zilikua wap... Half F15 zipigane na Su-30 kwan kuna vita mbna F15 ni mzoefu wa kuzifumua hzo Sukhoi za Syria tangu kipind cha Su-27...Half hv unajua kwamba F15 ndo successful air superiority fighter jet coz haijawahi kua defeated kwenye air combat hata siku moja kaz yake ni kudungua tu.Half sasa hv kuna F15S hyo ina stealth characteristics ni nouma siyo ya kisportsport.
Toa report ya Israeli kushambulia Syria halafu S-400 iko kwenye base ya Urusi.
 
Mkuu swala la kuto uza Siraha nje huwa liko kwa nchi nyingi na ni mpaka watengeneze Export version, Hata zile S-300 Urusi alizo uza Iran si kwamba ni the same na S-300 anaza tumia Mrusi. hii ni kwa matafaengi sana.
USA hua Ana desturi na akiamua kitu asikiuze hakiuz ili kulinda high tech yake isifike mikonon mwa nchi km China, Russia, etc sio km Russia anaweza kubana ila mwishon anaachia mfano sasa hv anauza S400 kwa India na China bila Shaka China lzm aicopy atengeneze zake huku akiwa na export versions na kuziuza kwa cheap price hii itamwaribia Russia soko unlike US from B2 spirit, F117 mpk leo F22 hazijawa exported ili kulinda teknolojia iliyotumika kwenye hzo vitu ukizingatia iliwaCost ela nying sana kwenye research mpk kudevelop hzo assets na km tunavyojua US anatumia ela nying sana kwenye research sasa hv yupo na Laser weapons, hatujui kipi kipya kitafata.
 
T-50 ni tishio labda on papers na hata km itakua ni tishio sio kiivile km watu mnavyodhan maana hata historia inaonyesha jinc ndege za US zilivyo powerful kwa za Russia maana hata mig foxbat za Syria ambazo ni Mach 3+ zilidunguliwa na F15 za Israel ambazo ni Mach 2.5 bila kusahau sukhoi kibao.

Mkuu what counts ni ujuzi/mafunzo waliopitia marubani - soma vizuri historia ya kweli kutoka kwa watu weledi ambao si waanga wa propaganda za vita baridi hao ndio watakueleza kuhusu kilicho tokea baina ya ndege za Syria na Israel kwenye Bonde la Baakar - msiwe mna exaggerate mambo/matukio.

Kitu kingine kumbuka kwamba Warusi wali design MiG-25 kwa kazi mbili: Ya kwanza ni kufanya kazi as high speed interceptor ya masafa marefu, kazi ya pili ni masuala ya high altitude reconnaissance plane, madai ya kusema zilihusika kat
ika masula ya dogfighting mnayatoa wapi?

Mlitegemea nchi za magharibi zingesema nini kuhusu ndege ya Kirusi aina ya MiG-25 iliyo kuwa inashikiria rekodi 45 Duniani kwa wakati huo, rekodi nyingine hazihavunjwa mpaka leo!! Ni wazi watasema lolote la kubuni tu ili kuonyesha Dunia kwamba MiG-25 si lolote si chochote.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-12-24-19-58-53.png
    Screenshot_2016-12-24-19-58-53.png
    69.2 KB · Views: 115
  • PhotoGrid_1482598810524.png
    PhotoGrid_1482598810524.png
    50.2 KB · Views: 117
Sio lingine Bali ni USA

Dead wrong!! Ni hivi: umewahi kusikia jina la Dr. Alexander Mikhalovich Prokhotov? Alikuwa mtaalamu/mtafiti mahili wa teknolojia ya nyanja za LASER na MASER - ukweli ni kwamba scietific community (ambayo hajali propaganda/itikadi vya vita baridi) inajua fika kwamba binadamu huyo ndiye alikuwa pioneer wa teknolojia.

Kazi zake/tafiti alianza mwaka 1947, ilipofika 1951 akafanikiwa kuhunda mashine ya kwanza, mwaka 1952 akatoa/present kazi yake kwenye conference ya wanasayansi - hapo ndio uhuni wa kujaribu kucopy kazi yake ukahanzia hapo.

Wana sayansi waadirifu walijua kilicho kuwa kinaendelea behind the scene kijaribu kucopy kazi zake, mimi nilisimuliwa sakata hili miaka mingi iliyopita na Profesa ambaye hakuwa anasukumwa na utikadi zozote zaidi ya masuala ufundishaji na kusema ukweli, ndio maana niliuliza hivi mnajua ni mtu gani alivumbua hii kitu. Wala sikushangaa majibu yaliyo tolewa na baadhi yenu.

Ilipofika mwaka 1958 alikwenda mbali zaidi kwa ku design an open cavity type resonator ambayo inatumiwa mashine karibu zote za Laser Dunia nzima!

Kutokana na kazi yake iliyo tukuka katika masuala ya Laser na Maser ndiyo maana mwaka 1964 alitunukiwa tuzo la Nobel yeye na mtu aliyekuwa anashirikiana naye Nikolay Basov ambaye iwahi kuwa mwanafunzi wake, tuzo hilo vile vile alipewa mwana sayansi wa Amerika lakini scietific community inajua pioneer alikuwa nani.
 
F-35 ni mradi wa nchi mbalimbali zilizoshirikiana kuitengeneza hii ndege ndo maana ukiachana na Israeli, Japan pia atauziwa hizi ndege, Wingereza, Australia, Canada pia alikua na mpango kuzinunua ila wameahirisha na kuamua kununua E(F)-18 zilizoboreshwa zaidi.. Je hii ni ndege bora kwa uhalisia kabla hujajibu hili swali jiulize kwa nini Amerika hawaiuzi F-22 na B-2 kwa nchi washirika pamoja na uwezo wake mkubwa kwenye uwanja wa mapambano na kupendwa na kuvutiwa na mataifa mengi washirika wa Amerika! F-35 ni ya kisasa kwa maana tu ya kua imetengenezwa hivi karibuni lakini kwa vigezo vya ubora vitani hii ndege haina uwezo.. Wabunifu wa SU T-50 PAK FA wanasema, ndege kua tu stealth haitaweza kuisaidia mbeleni wakati huu ambao radar pia zinaboreshwa hivyo kua stealth lazima kuendane na mambo mengine kama manuvability, kua na radar za masafa marefu na kuwa na siraha ambazo ni beyond visual range(BVR)... Kitendo cha kuweka pratiforms nyingi katka frame moja kwa F-35 kuna ifanya ndege kua nzito sana hivo haiwezi kumanuver na kitendo cha ndege kua na low manuvability maana yake haiwez dog fighting, na kitendo cha kushindwa dog fighting maana yake haiwezi kua airsuperiority fighter(haiwezi kulitawala anga) na kitendo cha kushindwa kulitawala anga maana yake hata ndege ya kizazi cha kati ya nne kwenda tano (4++) kama SU-35 au Euro fighter typhoon, Jas Grippen au J-17 ikiwekewa mafuta ya kutosha kukaa angani mda mrefu ikailia timing inaweza kui ambush F-35 na ikaiangaza.. mfano kwa vigezo vyote ilivyonavyo SU-35 kuanzia uwezo wa kubeba mafuta mengi, kubeba siraha ambazo ni beyond visual range, spidi kali, highly manuvable na kua na radar ya masafa marefu na ambayo inadetect target zote mbele na nyuma ya ndege, kwa kweli kana itatokea battle ya hizi ndege mbili angani (one to one) trust me F-35 analiwa asubuhi kabisa.. kumbuka hii ni SU-35 ndege ya kizazi cha nne(++) vip kama itakumbana na T-50 PAK FA ndege ya kizazi cha tano ambayo licha ya kua super stealth pia ina vigezo vingne vyote air superior fighter inavyopaswa kua navyo kama kupiga pugachev cobra manuver, spid kali, powerful engines, radar kali na za masafa marefu, uwezo wa kuharibu mawasiliano ya adui nk.... Kwa kweli kama utanambia nichague kati ya F-35 na F-22 ntachagua F-22 na nadhan huo pia ndo mtazamo wa jeshi la Amerika ndo maana F-22 hawajamuuzia yeyote hata Israeli...
700578d1cbc92f198faae7a0e706f8bb.jpg
Sidhani kama unaijua hiyo F-35 kuliko walioitengeneza na wakasema ni air superior! Pia katika ushindani na hasa wa kivita ni kitu cha kijinga kumtangazia kila mtu na maadui wakiwemo, eti umwage hadharani ubora kamili wa vifaa vyako. Naendelea kuamini hilo dubwana F35 ni moto wa lava
 
Dead wrong!! Ni hivi: umewahi kusikia jina la Dr. Alexander Mikhalovich Prokhotov? Alikuwa mtaalamu/mtafiti mahili wa teknolojia ya nyanja za LASER na MASER - ukweli ni kwamba scietific community (ambayo hajali propaganda/itikadi vya vita baridi) inajua fika kwamba binadamu huyo ndiye alikuwa pioneer wa teknolojia.

Kazi zake/tafiti alianza mwaka 1947, ilipofika 1951 akafanikiwa kuhunda mashine ya kwanza, mwaka 1952 akatoa/present kazi yake kwenye conference ya wanasayansi - hapo ndio uhuni wa kujaribu kucopy kazi yake ukahanzia hapo.

Wana sayansi waadirifu walijua kilicho kuwa kinaendelea behind the scene kijaribu kucopy kazi zake, mimi nilisimuliwa sakata hili miaka mingi iliyopita na Profesa ambaye hakuwa anasukumwa na utikadi zozote zaidi ya masuala ufundishaji na kusema ukweli, ndio maana niliuliza hivi mnajua ni mtu gani alivumbua hii kitu. Wala sikushangaa majibu yaliyo tolewa na baadhi yenu.

Ilipofika mwaka 1958 alikwenda mbali zaidi kwa ku design an open cavity type resonator ambayo inatumiwa mashine karibu zote za Laser Dunia nzima!

Kutokana na kazi yake iliyo tukuka katika masuala ya Laser na Maser ndiyo maana mwaka 1964 alitunukiwa tuzo la Nobel yeye na mtu aliyekuwa anashirikiana naye Nikolay Basov ambaye iwahi kuwa mwanafunzi wake, tuzo hilo vile vile alipewa mwana sayansi wa Amerika lakini scietific community inajua pioneer alikuwa nani.
Source mkuu.... Reliable Sources tunaomba, haya masimulizi hata mimi nayaweza
 
Kwa sasa, mrusi yupo juu zaidi ki tecnolojia
Ndege nyingi za USA engeni zake zinatengenezwa na kampuni za urusi kama hamjui na mikataba kati ya kampuni za urusi na USA yanaisha 2030
 
Dead wrong!! Ni hivi: umewahi kusikia jina la Dr. Alexander Mikhalovich Prokhotov? Alikuwa mtaalamu/mtafiti mahili wa teknolojia ya nyanja za LASER na MASER - ukweli ni kwamba scietific community (ambayo hajali propaganda/itikadi vya vita baridi) inajua fika kwamba binadamu huyo ndiye alikuwa pioneer wa teknolojia.

Kazi zake/tafiti alianza mwaka 1947, ilipofika 1951 akafanikiwa kuhunda mashine ya kwanza, mwaka 1952 akatoa/present kazi yake kwenye conference ya wanasayansi - hapo ndio uhuni wa kujaribu kucopy kazi yake ukahanzia hapo.

Wana sayansi waadirifu walijua kilicho kuwa kinaendelea behind the scene kijaribu kucopy kazi zake, mimi nilisimuliwa sakata hili miaka mingi iliyopita na Profesa ambaye hakuwa anasukumwa na utikadi zozote zaidi ya masuala ufundishaji na kusema ukweli, ndio maana niliuliza hivi mnajua ni mtu gani alivumbua hii kitu. Wala sikushangaa majibu yaliyo tolewa na baadhi yenu.

Ilipofika mwaka 1958 alikwenda mbali zaidi kwa ku design an open cavity type resonator ambayo inatumiwa mashine karibu zote za Laser Dunia nzima!

Kutokana na kazi yake iliyo tukuka katika masuala ya Laser na Maser ndiyo maana mwaka 1964 alitunukiwa tuzo la Nobel yeye na mtu aliyekuwa anashirikiana naye Nikolay Basov ambaye iwahi kuwa mwanafunzi wake, tuzo hilo vile vile alipewa mwana sayansi wa Amerika lakini scietific community inajua pioneer alikuwa nani.
Emb nipe source nikajisomee mwnyewe maana so kwa hadithi hii
 
Back
Top Bottom