Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Source mkuu.... Reliable Sources tunaomba, haya masimulizi hata mimi nayaweza
Mkuu kwanza sio vizuri kubeza beza watu anvao huwajui vizuri, kinacho zungumzwa hapa ni masuala ya kisayansi sio masuala ya geopolitics mimi nimekwisha kupa lead including majina ya mwanasayansi muhusika mkuu jwa nini utafuti mwenyewe kujua undani wake.
Mkuu sisemi mambo ya kubuni, ndio maana niliwahoji toka mwanzo kwamba hivi mnajua pioneer wa masuala ya Laser na Maser alikuwa ni nani - that simple, tafuta mwenyewe utajifunza mengi.