Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Source mkuu.... Reliable Sources tunaomba, haya masimulizi hata mimi nayaweza
mwenye number kubwa ya nuclear weapon ni mrusi mkuu , USA anaongoza kwa kuwa na number kubwa ballistic missileRussia will overpower American in military capability, technology and so forth!! US and his allies/ NATO combined are more powerful even five times than Russia and her Allies!! Remember US has larger number of nuclear weapons/missile that are more active and gone into use in Japan Hiroshima and Nagasaki than Russia! US control the largest satellites and largest super computer that control the connection and communication of computers in all regions!!! So the western will never fear Russia but will only buy a time! US have many military base from sea to land even near Russia borders!!
Asikusumbue mkuu tunaoelewa tumeelewa...Kama anataka chanzo cha Habari yako mwambie awasiliane na pentagonMkuu kwanza sio vizuri kubeza beza watu anvao huwajui vizuri, kinacho zungumzwa hapa ni masuala ya kisayansi sio masuala ya geopolitics mimi nimekwisha kupa lead including majina ya mwanasayansi muhusika mkuu jwa nini utafuti mwenyewe kujua undani wake.
Mkuu sisemi mambo ya kubuni, ndio maana niliwahoji toka mwanzo kwamba hivi mnajua pioneer wa masuala ya Laser na Maser alikuwa ni nani - that simple, tafuta mwenyewe utajifunza mengi.
Ebu fafanua vizuri hapo kwenye super compyuya. Maana US ndiye mlalamikaji wa kuibiwa takwimu na warusi na wachina.Russia will overpower American in military capability, technology and so forth!! US and his allies/ NATO combined are more powerful even five times than Russia and her Allies!! Remember US has larger number of nuclear weapons/missile that are more active and gone into use in Japan Hiroshima and Nagasaki than Russia! US control the largest satellites and largest super computer that control the connection and communication of computers in all regions!!! So the western will never fear Russia but will only buy a time! US have many military base from sea to land even near Russia borders!!