Zijue tabia za Kanisani

Kwa jinsi ulivyoandika jina 'mungu' , hujui lolote ni heri uulize kabla huja copy na kupaste bandiko la wenyewe.
Wewe ziro kweli haya embu sema ni wapi nimecopy hii kitu...

Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?

1: MZUNGU KATULETEA DINI
2: MZUNGU KATULETEA MAVAZI
3: MZUNGU KATULETEA UTANDAWAZI
4: MZUNGU KATULETEA NJIA ZA MAWASILIANO
5: MZUNGU KATULETEA TAHARUKI MBALIMBALI NA MAFUNZO JUU YA MAHUSIANO
6: MZUNGU HUYO BADO ANATUMALIZA KWA MAGONJWA YA KUTENGENEZA ILI AENDELE KUFANYA BIASHARA YA KUUZA MADAWA YA TIBA
7: MZUNGU ANAJALI MASLAHI ANAYOPATA KWA KUUZA THAMANI ZA KWENYE NYUMBA ZA IBADA
8: WEWE MTU MWEUSI UPO GIZANI NA HUTAKI KUAMINI KUWA DINI ZILIKUJA KIBISHARA NA HUJUI NI NJIA IPI HASWA UTUMIE KUMFAHAMU MUNGU WA KWELI


Toka gizani sasa na uanze kujifunza kuhusu mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..
 
Hoja nzuri,,lakini kumbuka hata kwenye simu kuna notebook,,na kwa upande wangu kutunza kwenye simu inakuwa bora zaidi kuliko kwenye makaratasi,, kwa sababu kumbuka hilo daftari huwezi kuwa unatembea nalo every where au tuseme biblia ya kawaida huwezi kuwa nayo kila mahali,,,linapokuja swala la kujikumbusha neno la Mungu hizi simu ni better than you think kwa sababu kila mahali unakuwa nayo.
 
Hata baada ya ibada hio note unaweza ukascan kwenye simu.
Lengo la kuzuia simu ibadani ni kuweka attention.
Unaweza vipi jicontrol kutotumia mengine kwenye simu ibada ikiendelea?
 

Haupo sawa hapo ndugu
 
Hata baada ya ibada hio note unaweza ukascan kwenye simu.
Lengo la kuzuia simu ibadani ni kuweka attention.
Unaweza vipi jicontrol kutotumia mengine kwenye simu ibada ikiendelea?
simu haitumiki kila mda kama unavyozani,,,labda nikuulize kutakuwa na utofauti gani pale muumini atakapokuwa ana-note kwenye daftari na mimi na-note kwenye simu yangu kwa wakati mmoja??? Au pale muumini fulani awe anasoma mistari katika biblia wakati huohuo na mimi nafatilia kwenye biblia ya simu yangu???
 
Utaamini vipi unanote kwenye simu au unachati?
 
Katekista,
unawaambiaje wale wanawake walioolewa huwa wanatabia ya kuacha kukaa upande wa wanawake wenzao na kuja kukaa karibu na waume zao huku upande wa wanaume?.

Maana naona ni kama wanadeka na wanawaringishia wale wenzao ambao hawajaolewa!.

Why kanisani kuwe na upande wa wanawake na upande wa wanaume?
Pia ni swala la mtazamo tu, kwanini mtu afikirie kuwa anayekaa na mwenzi wake ni kutambishia!!? Nadhani haileti maana yoyote mtu kuwaza hivyo.
 
Utaamini vipi unanote kwenye simu au unachati?
Kama unahitaji swala la kuthibitishiana kwenye ibada,,,acha nikuulize muumini anayefata protocol zote za kanisani lakini bado mawazo na fikra zake hazipo ibadani unaweza kumtambua??? Na je huyo unamuweka kundi lipi??
 
Kama unahitaji swala la kuthibitishiana kwenye ibada,,,acha nikuulize muumini anayefata protocol zote za kanisani lakini bado mawazo na fikra zake hazipo ibadani unaweza kumtambua??? Na je huyo unamuweka kundi lipi??
Kanisani wote awaingii kwa lengo moja
 
Masheria meeengi lakini Afrika,Bongo Bado maskini,watu wanashinda wamelala kwa Mwamposa,kanisa linanuka mikojo,na Bado wanaamini wamekuja kupona,
Mwamposa yeye anapiga biashara yake,kafungua hotel yake,pombe zitanyweka,michepuko itabanduliwa humo,ufuska utafanyika,atazidi kuwa tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…