Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Nikiwa kanisani mkuyenge wangu unadinda sana so natamani nimgegede yoyote yule mbele yanguUna maana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa kanisani mkuyenge wangu unadinda sana so natamani nimgegede yoyote yule mbele yanguUna maana gani?
Kaka usinibishie mimi mwenyewe muislam, na nafahamu sana kuwa sala ya ijumaa imetanguliwa na khutba mbili. Ninachokiandika hapa nimekishuhudia na wanaofanya hivyo najua wanakosea Sasa sielewi wanakosea makusidi au kutokujua. Kuna wengine wakati wa khutba huwa wanasinzia piaNimekuelewa na hapo nimekuelewa VIZURI zaidi
Sasa na mm nakuelewesha
Kwenye KHUTBA ya IJUMAA amabapo ww ndo unaita MAWAIDHA hakuna hilo hakuna MUUMIN anayeweza kufanya hivyo jambo hilo 7bu hataaribu ijumaa yake
KUSIKIZA KHUTBA ni nusu ya swala ya IJUMAA
Hvyo ni muhimu sana haiwezekani jambo hilo kutokea
So umelewa?Leo nimekwenda kusali natoka tu nikakumbuka kuna beer kwenye siti ya nyuma. Basi nikashukuru sana
Anakula huku anaongea au anakula huku amesimama nkKwani kuna tatizo lolote katika kula?
Kama lipo litaje ili nipate pa kuanzia
Sitaki kuamini mkuu
Feminist mna kazi sana.Mtoa mada unaonekana una matatizo na GBV,mbona umechambua mavazi ya wanawake tu wawapo kwenye nyumba za ibada, je nini dress code ya wanaume kwenye hizi nyumba takatifu?
Mambo ya mlo siyafuatiliagi kabisa, sidhani kama naweza kuandika uzi wa kula.Anakula huku anaongea au anakula huku amesimama nk
Unasumbuliwa na majini ndugu, acha kupiga punyeto na mkunyenge utatuliaNikiwa kanisani mkuyenge wangu unadinda sana so natamani nimgegede yoyote yule mbele yangu
Vp nije kukupigaUnasumbuliwa na majini ndugu, acha kupiga punyeto na mkunyenge utatulia
Ukiwasha data itakulazimisha kwenda kwenye browser na instagram au twitterVipi simu yangu kama ndiyo biblia na biblia ninayotumia inanilazimu kuwasha data??
Je unawapendelea hivi? Basi hama!Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Mabusu ya KAZI bank? Au ulimaanisha mbususu?Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Ni kissesMabusu ya KAZI bank? Au ulimaanisha mbususu?
Asante kwa hiyo nyongeza.pia epuka kuvaa nguo yenye maandishi yatakayohamisha fikra za watu mfano jezi za mpira, chama n.k
Nihamie wapi?Basi hama!
Damu ya Yesu inaangamiza majini yako yoteVp nije kukupiga
Picha unayo ndani na kichwa chako nduguWeka picha master
Kwa nini waigize mavazi ya uarabuni ilhali wanaishi Tanzania?Kwa kifupi kwa akina Dada wajiigize na wanawake wa kiislam jinsi wanavovaa