Zijue tabia za Kanisani

Zijue tabia za Kanisani

Nimekuelewa na hapo nimekuelewa VIZURI zaidi
Sasa na mm nakuelewesha
Kwenye KHUTBA ya IJUMAA amabapo ww ndo unaita MAWAIDHA hakuna hilo hakuna MUUMIN anayeweza kufanya hivyo jambo hilo 7bu hataaribu ijumaa yake
KUSIKIZA KHUTBA ni nusu ya swala ya IJUMAA
Hvyo ni muhimu sana haiwezekani jambo hilo kutokea
Kaka usinibishie mimi mwenyewe muislam, na nafahamu sana kuwa sala ya ijumaa imetanguliwa na khutba mbili. Ninachokiandika hapa nimekishuhudia na wanaofanya hivyo najua wanakosea Sasa sielewi wanakosea makusidi au kutokujua. Kuna wengine wakati wa khutba huwa wanasinzia pia
 
Anakula huku anaongea au anakula huku amesimama nk
Mambo ya mlo siyafuatiliagi kabisa, sidhani kama naweza kuandika uzi wa kula.

Ila kwa mambo ya kiroho naweza kuandaa nyuzi mbali mbali we chagua tu ikitakacho kuhusu mambo ya kiroho mitakifungulia uzi.
 
Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?

Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.

Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.

Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.

Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.

Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.

Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.

Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]

Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).

Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.

Nakutakia ibada njema.

Ubarikiwe.
Je unawapendelea hivi? Basi hama!
1673816186083.png
 
Mabusu ya KAZI bank? Au ulimaanisha mbususu?
 
Back
Top Bottom