Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo umme wa solar ni bei gani kunifungia kwa taa5. computer, friji, na radio na pasi inagharimu kiasi gani? friji ni dogo la kawaida la matumizi ya nyumbaniachaneni na tanesco fungeni umeme wa solar ambao uko intergrated na wind turbine, mchana unapokea umeme jua na umeme upepo usiku unapokea umeme upepo. hamna sijui luku imeisha sijui umeme umekatika? unafunga umeme siku hiyo hiyo unatumia siku hiyo hiyo.
Shukrani,Jana nimemtuma kijana wangu kwenda kupata namba ya kumbukumbu TANESCO Mkuranga akaelezwa kuwa network inasumbua aache no za simu mambo yakiwa tayari atajulishwa.
Naye akachukua za TANESCO Mkuranga, kila akiwapigia jibu, bado network haijarudi, sisi tupo kwenye mradi mpya, huku tunatangaziwa kuwa mwisho ijumaa.
Kila kitu kifanywe kwa ueledi, anayefata Huduma TANESCO kaacha kutoa Huduma sehemu nyingine ili tuumuunge mkono Mh Rais tupunguze njoo kesho ili tusonge Mbele.
Ndani ya manispaa ni laki 3 kama na 20,nnje ya manispaa ni laki 177Kiasi Gani mnatoza kwa nguzo Moja eneo la makazi?
Ndani ya manispaa ni laki 3 kama na 20,nnje ya manispaa ni laki 177
We ndio Tanesco, ?
Sawa watafute wanaotaka kuteka maji kwenye bwawa lako la kidatu kakaYaap tena kidatu[emoji41]