lincolinjnr
Member
- Mar 19, 2012
- 40
- 13
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaewa una hamu na niniSina hata hamu na hili shirika.
Acheni Uwongo nyie TANESCO. Kule masas tangu kulipia umeme adi kuunganishiwa inachukua zaidi ya Miezi 4 ya Kaz. Afu kwanin umeme wenu unakatikakatika kila wakat? Kule masas ni shida sn
Vp kwa sisi tunaotaka kufanya internship apo
Hakuna taasisi ovyo kama TANESCO. Wazuri tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii lakini uwajibikaji ni Zero kabisa. Hawajaapona ule ugonjwa wa RushwaNdugu TANESCO nimelipia umeme Nguzo2 urefu Mita100
kuanzia mwaka jana tareh19/10/2016 mpka Leo tarehe 24/04/2017 sijaunganishiwa umeme nimekuwa mtu wakuzungushwa kila nikienda Tanesco nazungushwa nimechoka.
Niliambiwa ndani ya siku60
Madai yao makuu eti vifaa viko njiani stock imepunguaMnazingua sana nyinyi Tanesco, niliomba kufungiwa umeme nikazungushwa kwa zaidi ya miezi sita, mara ooh kuna wateja wengi yaani visababu kibao!
Na sababu kubwa ilikuwa ni wahusika kutengeneza mazingira ya rushwa...
Kweli kabisa,ipo siku yaoMabwana rushwa hawa.
Hawana shida na wateja.
Wateja wanawafuata kila siku no response.
Ipo siku mtaanza kusaka wateja mitaani kama benki wanavyofanya