bint_shaaban
Member
- Sep 27, 2014
- 87
- 47
Very interesting would love to know more bout this lion clan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SimbakaliaSimbachawene
Simbaulanga
Simbayamsimbazi.
Simbaleo
Mimi sifahamu kuhusu Chongolo. Lakini Hayo mambo ya kufukuzana kazi inabidi sheria na kanuni za kazi zifatwe.Chongolo kafukuzwa kazi kwa ajili ya ngono,bado unaandika haya mambo kuitukuza ngono.
Simba ni koo kubwa sana, kua na majina ya simba hakumaanishi yupo au hayupo kwenye koo ya simba.Simbakalia
You can ask anything you would like to know or know more about simba clans.Very interesting would love to know more bout this lion clan
Very interesting would love to know more bout this lion clan
Simba dumuSimbachawene
Simbaulanga
Simbayamsimbazi.
Simbaleo
Acha upumbavu kwa kuwasemea Masai jambo ambalo halipo.Sio ushirikina na sio ya wazi. Jamii nyingi za Kitanzania kujamiiana ni mila yao kabisa.
Mfano Wamasai akikukabisha kwake, ni lazima ulale na mkewe. Hii ni mila iliyopo hivi sasa sio ya kusadikika.
Kuna mila nyingi za namna hiyo. Simba wao ni tofauti.
Kujamiiana kisimba ni kuweka alama ya himaya ya koo yao, kama vile porini wanaweka alama ya himaya (territory markings) ya kukojoa.
Nimeona hapa umesema Moja ya Sifa ya Koo za Simba ni Uadilifu na uaminifu upole Yani siyo watu wa vurugu Wana heshimu Kila mtu.Labda niendelee kufunguka kidogo.
Mwinyi ni koo ya simba. Kikwete koo ya simba. Nyerere ni koo ya simba. Mkapa koo ya simba. Magu ni koo ya simba kwa mama na rafiki wa simba kwa Baba.
Samia ni koo ya simba kwa Baba na mama.
Ungewataja wepi, nimetaja wengi kwenye uzi huu.Nimeona hapa umesema Moja ya Sifa ya Koo za Simba ni Uadilifu na uaminifu upole Yani siyo watu wa vurugu Wana heshimu Kila mtu.
Je mbona Hawa ambao umewataja hawana hizo sifa za Koo za kisimba?
Aua hii imekaaje
Simsemei yeyote, huo ndio ukweli.Acha upumbavu kwa kuwasemea Masai jambo ambalo halipo.