#COVID19 Zikijibiwa hizi hoja, naenda kuchanjwa!

Kama unaona haina tija achana nayo ...
 
Hakuna swrikali yoyote dunuani inayowajibika na chanjo yoyote ile

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
... ufafanuzi safi kabisa!
 
W eee jamaa akili yako iko kama boksa ya nyumba au chupi ya Malaya WA jero jero..................kufa na chanjo yako mwehu wewe
 
Ni zombie tu anaweza kenua meno achanjwe ukizingatia.
Hata ukichanjwa utaambukiza na kuambukiza.
Hata ukichanjwa Corona ikikupata inaweza kukuua.
Hata ukichanjwa utaendelea kuvaa mask.
 
Unatupa majibu ya ulaya Kwa kuangalia habari za kwenye TV zao na kutoka mashirika Yao ya habari.......wewe nae ni nguruwe mwitu kabisa.........uwezi kutupa majibu ya ulaya wakati ulipo ni tandale Kwa mtogole...........
 
Duniani kote chanjo ni hiari lakini pia inatumika nguvu kubwa na matangazo mengi kuitangaza kwa sababu ni chanjo na inapunguza makali ya vifo vingi pandemic

Kuna conspiracy theories nyingi sana katika ulimwengu wa leo ambao mitandao Ina nguvu mno
 
Hayo madhara ya chanjo kwa watu wenye kinga ndogo au magonjwa chronic yapo kwenye hii ya Covid peke yake? Kwanini chanjo zingine hatupewi hizo form za kuiondoa serikali au watengenezaji wa chanjo kuwajibika yakitokea madhara?
 
Kitendo cha SERIKALI KUKATAA KUWAJIBIKA KWA MADHARA YA CHANJO NDIO KINATIA MASHAKA WATU KUCHANJWA KWANINI SERIKALI IKATAE?
Hili jambo ndiyo limefanya wengi wawe na mashaka.... Kwa Nini serikali ijiondoe endapo tatizo litatokea baada ya kuchanjwa???
 
Tulikuwa bize kumlaumu CHIFU MANGUNGO kwa kuuza watu wake kwa wakoloni, miaka itakayo kuja kizazi hiki kitalaaniwa kwa kukubali kupigwa SUMU kwa hiari
 
... utaikubali tu kima wewe! Hijja hutakanyaga bila chanjo; hutavuka mipaka ya nchi bila chanjo! Endelea kujitia upumbavu!
Wazee wetu wameishi na kufia kwenye maeneo au vijiji vyao na wameishi kwa furaha hadi wengine wakavuka miaka 100 na hadi leo hii kuna watu hadi wanazeeka hawajawahi kukanyaga Dar, kuna wazungu hadi wanazeeka hawajawahi kuvuka mipaka ya nchi zao na wengi wanasimuliwa au kuona kwenye luninga maisha ya huku afrika...........kwa hiyo sioni jipya.
 
achana na huyo limbukeni
 
Mimi sichanjwi sababu 'naogopa sindano' basi...sitaki mambo mengi
 
Sasa kama huna elimu au connection na dunia utasafiri uende wapi? Wengine kusafiri duniani ni moja ya mambo muhimu ya kiuchumi na kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…