... utaikubali tu kima wewe! Hijja hutakanyaga bila chanjo; hutavuka mipaka ya nchi bila chanjo! Endelea kujitia upumbavu!
kima ndo wanasafiri-safiri hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... utaikubali tu kima wewe! Hijja hutakanyaga bila chanjo; hutavuka mipaka ya nchi bila chanjo! Endelea kujitia upumbavu!
... ficha upumbavu wako!kima ndo wanasafiri-safiri hovyo.
Hakuna swrikali yoyote dunuani inayowajibika na chanjo yoyote ileKama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........
Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??
Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??
Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr
Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
... ufafanuzi safi kabisa!ninavyofahamu na kama una swali niulize nitakujibu kadri ninavyofahamu,
Kwanini Chanjo ya COVID 19 inapigiwa chapuo sana Licha ya kwamba ni hiyari?
- Hii ni kwasababu dunia nzima ipo katika mpango na juhudi za kutokomeza kabisa ugonjwa huu, ndio maana chanjo inasisitizwa sana kwasababu bila watu wote kuchomwa chanjo itakua ni ngumu sana ugonjwa huu kuisha,
Kwanini wanaochoma chanjo wanaendelea kuvaa barakoa? Je nikipata chanjo naweza kuambukizwa na kuambukiza?
- Wanaopata chanjo wanashauriwa kuvaa barakoa kwani wanauwezekano pia wa kupata maambukizi ya korona, iko hivi,
Chanjo Ya korona inapoingia mwilini mwako inaboost immunity, yaani inauongezea kinga mwili wako, kinga hii inayoongezwa inauwezo mkubwa wa kupambana na UVIKO, maana yake wewe uliepata chanjo tayari utakua na kinga utakapopata maambukizi ya UVIKO mwili wako utaweza kupambana na virusi hivyo na hatimaye kutoweka maana tayari una kinga ya kujilinda,
Kwanini baaadhi ya chanjo inatakiwa uchomwe zaidi ya mara moja?
Ni kawaida sana baadhi ya chanjo kuchomwa zaidi ya mara moja ili kuimarisha zaidi kinga mwili, mfano kuna chanjo za Tetanus Taxoid (chanjo ya tetenasi) hii huchomwa mara tatu kwa mwanaume na mara tano kwa wanawake pia zipo chanjo nyingine za watoto ambazo huchomwa zaidi ya mara moja,
pia katika chanjo za korona zipo baadhi ambazo unachomwa zaidi ya mara moja na nyingine ni mara moja tu kama Johnson Johnson
Kwanini baadhi ya mataifa ya magharibi licha ya chanjo ila uginjwa bado upo na watu wanakufa kwa covid?
Ni kwel hata baadhi ya mataifa ambayo chanjo imetengenezwa huko bado wanaugonjwa na watu wanakufa lakini kiuhalisia sio kwa idadi ile kama ya mwanzo,
mfano mzuri anagalia China ambako ugonjwa umeanzia, kule sasahivi wanaelekea kusahau mambo ya Corona kwasababu zaidi ya 90% wamepata chanjo,
Angalia ulaya sasahivi hata watu wameanza kufunguliwa angalia michuano ya Euro watu waliruhusiwa kuingia uwanjani na ugonjwa ulienea lakini sasahivi upo very week kwasababu watu wameshapata chanjo,
Angalia nchi ya Italy kipindi cha COVID walikufa sana kwa siku walikua wanakufa zaidi ya watu elfu 6, lakini kwa sasa idadi ya vifo haipo kwasababu wengi wameishapata chanjo hivyo virusi vya korona vimedhoofishwa sana havina nguvu tena,
Kwanini Chanjo ya COVID imechukua mda mfupi sana? je tutaaminije kama haitaleta madhara baadaye?
hakuna muda malumu uliowekwa wa chanjo kutengenezwa, hata hiyo chanjo ya kifua kikuu ambayo wewe umezaliwa ukaikuta, pia kipindi inatengenezwa wapo watu waliokua wa kwanza kuitumia na haijawadhuru,
rejea ugonjwa wa Ebora ulilipika Congo, Siera lion, na equatorial Guinea, ugonjwa ule ulilipuka ghafla na utengenezaji wa chanjo yake haukuchukua muda mrwfu na chanjo ilionyesha ufanisi mkubwa mpaka leo hii ebora imebaki kuwa historia,
Je chanjo ya Covin ndiyo Alam ya 666?
hayo mambo yamekaa kiimani zaidi na sio kisayansi na kusema kwamba chanjo ni chapa ya 666 ni sababu zisizo na mashiko kwani hata kwenye maandishi chapa ya mnyama hadi itokee tayari dunia itakua imeshapitia kipindi cha kuabudu siku moja na kuwa na serikali moja pia chapa ya mnyama itakua inahusisha moja kwa moja mpinga kristo,
Je, Wazungungu wanataka kutuua kupitia chanjo?
wakuue kwa lipi, wangetaka kukuua wasinheruhusu nchi mbalimbali zitengeneze chanjo chanjo ingekua ni moja dunia nzima, lakini mpaka sasa nchi nyingi zimetengeneza chanjo ikiwemo Africa kusini china na india kama mpango ungekua ni kuuwa watu basi ingetumika chanjo moja dunia nzima,
lakini vilevile ieleweke kwamba Mzungu akiamua kukuua, hauna ujanja wa kukwepa
Kwanini kwenye fomu ya chanjo, serikali ilijitoabkuwajibika kwa lolote litakalotokea?
- chanjo kazi yake ni kuboost immunity ili mwili wako uwe na uwezo wa kupambana na Covid pale unapoipata,
sasa basi kipaumbele cha kwanza ni wenye magonjwa sugu, na wenye magonjwa sugu wengi immunity zao ziko chini sana so serikali ikisema iwalipe
ikitokea mtu yytr amepiga chanjo na akafa hata kwa ugonjwa mwingine watadai fidia,
means mimi niwe na Chronic heart diseases nikaamua kuchoma chanjo, mwezi mmoja ukipita nikafa kwa ugonjwa wa moyo au mwingine wwte ule lazima ndugu waidai serikali fidia,
sasa serikali italipa wangapi?
maana hapa ingesema ihusike watu wangeenda kuiangushia serikali jumba bovu, mtu anakufa kwa TB ila kwakua alipiga vaccine ya covvid atataka alipwe
... ficha upumbavu wako!
... huu ni mwanzo tu Mkuu; at some point haitakuwa hiyari tena. Maana watakuwa carriers kwa ujuha wao.Kama unaona haina tija achana nayo ...
... huna akili; eti wanaosafiri ni kima? Are in your common sense?...utakapoficha utaahira wako
W eee jamaa akili yako iko kama boksa ya nyumba au chupi ya Malaya WA jero jero..................kufa na chanjo yako mwehu weweWe wala usichanjwe kaa tu.
1. Matumizi ya condom na net ni hiyari sio lazima lakini umewahi kuhoji nguvu kubwa inatotumika kutaka watu watumie? Unajua ni mamilioni mangapi ya shilingi yanatumika kujenga uelewa wa watu kutumia condom? Unadhani kwanini kama sio kutaka kulinda watu wagumu kama wewe
2. Umewahi kuwa na ndugu yako wa karibu anaingia kufanyiwa upasuaji hospitali ukatakiwa kusaini form ya kujitwisha mzigo na si hospitali, Dokta wala serekali? Kwanini unashangaa kwenye chanjo ya korona.
Unatupa majibu ya ulaya Kwa kuangalia habari za kwenye TV zao na kutoka mashirika Yao ya habari.......wewe nae ni nguruwe mwitu kabisa.........uwezi kutupa majibu ya ulaya wakati ulipo ni tandale Kwa mtogole...........ninavyofahamu na kama una swali niulize nitakujibu kadri ninavyofahamu,
Kwanini Chanjo ya COVID 19 inapigiwa chapuo sana Licha ya kwamba ni hiyari?
- Hii ni kwasababu dunia nzima ipo katika mpango na juhudi za kutokomeza kabisa ugonjwa huu, ndio maana chanjo inasisitizwa sana kwasababu bila watu wote kuchomwa chanjo itakua ni ngumu sana ugonjwa huu kuisha,
Kwanini wanaochoma chanjo wanaendelea kuvaa barakoa? Je nikipata chanjo naweza kuambukizwa na kuambukiza?
- Wanaopata chanjo wanashauriwa kuvaa barakoa kwani wanauwezekano pia wa kupata maambukizi ya korona, iko hivi,
Chanjo Ya korona inapoingia mwilini mwako inaboost immunity, yaani inauongezea kinga mwili wako, kinga hii inayoongezwa inauwezo mkubwa wa kupambana na UVIKO, maana yake wewe uliepata chanjo tayari utakua na kinga utakapopata maambukizi ya UVIKO mwili wako utaweza kupambana na virusi hivyo na hatimaye kutoweka maana tayari una kinga ya kujilinda,
Kwanini baaadhi ya chanjo inatakiwa uchomwe zaidi ya mara moja?
Ni kawaida sana baadhi ya chanjo kuchomwa zaidi ya mara moja ili kuimarisha zaidi kinga mwili, mfano kuna chanjo za Tetanus Taxoid (chanjo ya tetenasi) hii huchomwa mara tatu kwa mwanaume na mara tano kwa wanawake pia zipo chanjo nyingine za watoto ambazo huchomwa zaidi ya mara moja,
pia katika chanjo za korona zipo baadhi ambazo unachomwa zaidi ya mara moja na nyingine ni mara moja tu kama Johnson Johnson
Kwanini baadhi ya mataifa ya magharibi licha ya chanjo ila uginjwa bado upo na watu wanakufa kwa covid?
Ni kwel hata baadhi ya mataifa ambayo chanjo imetengenezwa huko bado wanaugonjwa na watu wanakufa lakini kiuhalisia sio kwa idadi ile kama ya mwanzo,
mfano mzuri anagalia China ambako ugonjwa umeanzia, kule sasahivi wanaelekea kusahau mambo ya Corona kwasababu zaidi ya 90% wamepata chanjo,
Angalia ulaya sasahivi hata watu wameanza kufunguliwa angalia michuano ya Euro watu waliruhusiwa kuingia uwanjani na ugonjwa ulienea lakini sasahivi upo very week kwasababu watu wameshapata chanjo,
Angalia nchi ya Italy kipindi cha COVID walikufa sana kwa siku walikua wanakufa zaidi ya watu elfu 6, lakini kwa sasa idadi ya vifo haipo kwasababu wengi wameishapata chanjo hivyo virusi vya korona vimedhoofishwa sana havina nguvu tena,
Kwanini Chanjo ya COVID imechukua mda mfupi sana? je tutaaminije kama haitaleta madhara baadaye?
hakuna muda malumu uliowekwa wa chanjo kutengenezwa, hata hiyo chanjo ya kifua kikuu ambayo wewe umezaliwa ukaikuta, pia kipindi inatengenezwa wapo watu waliokua wa kwanza kuitumia na haijawadhuru,
rejea ugonjwa wa Ebora ulilipika Congo, Siera lion, na equatorial Guinea, ugonjwa ule ulilipuka ghafla na utengenezaji wa chanjo yake haukuchukua muda mrwfu na chanjo ilionyesha ufanisi mkubwa mpaka leo hii ebora imebaki kuwa historia,
Je chanjo ya Covin ndiyo Alam ya 666?
hayo mambo yamekaa kiimani zaidi na sio kisayansi na kusema kwamba chanjo ni chapa ya 666 ni sababu zisizo na mashiko kwani hata kwenye maandishi chapa ya mnyama hadi itokee tayari dunia itakua imeshapitia kipindi cha kuabudu siku moja na kuwa na serikali moja pia chapa ya mnyama itakua inahusisha moja kwa moja mpinga kristo,
Je, Wazungungu wanataka kutuua kupitia chanjo?
wakuue kwa lipi, wangetaka kukuua wasinheruhusu nchi mbalimbali zitengeneze chanjo chanjo ingekua ni moja dunia nzima, lakini mpaka sasa nchi nyingi zimetengeneza chanjo ikiwemo Africa kusini china na india kama mpango ungekua ni kuuwa watu basi ingetumika chanjo moja dunia nzima,
lakini vilevile ieleweke kwamba Mzungu akiamua kukuua, hauna ujanja wa kukwepa
Kwanini kwenye fomu ya chanjo, serikali ilijitoabkuwajibika kwa lolote litakalotokea?
- chanjo kazi yake ni kuboost immunity ili mwili wako uwe na uwezo wa kupambana na Covid pale unapoipata,
sasa basi kipaumbele cha kwanza ni wenye magonjwa sugu, na wenye magonjwa sugu wengi immunity zao ziko chini sana so serikali ikisema iwalipe
ikitokea mtu yytr amepiga chanjo na akafa hata kwa ugonjwa mwingine watadai fidia,
means mimi niwe na Chronic heart diseases nikaamua kuchoma chanjo, mwezi mmoja ukipita nikafa kwa ugonjwa wa moyo au mwingine wwte ule lazima ndugu waidai serikali fidia,
sasa serikali italipa wangapi?
maana hapa ingesema ihusike watu wangeenda kuiangushia serikali jumba bovu, mtu anakufa kwa TB ila kwakua alipiga vaccine ya covvid atataka alipwe
... huna akili; eti wanaosafiri ni kima? Are in your common sense?
Hayo madhara ya chanjo kwa watu wenye kinga ndogo au magonjwa chronic yapo kwenye hii ya Covid peke yake? Kwanini chanjo zingine hatupewi hizo form za kuiondoa serikali au watengenezaji wa chanjo kuwajibika yakitokea madhara?ninavyofahamu na kama una swali niulize nitakujibu kadri ninavyofahamu,

Hili jambo ndiyo limefanya wengi wawe na mashaka.... Kwa Nini serikali ijiondoe endapo tatizo litatokea baada ya kuchanjwa???Kitendo cha SERIKALI KUKATAA KUWAJIBIKA KWA MADHARA YA CHANJO NDIO KINATIA MASHAKA WATU KUCHANJWA KWANINI SERIKALI IKATAE?
Tulikuwa bize kumlaumu CHIFU MANGUNGO kwa kuuza watu wake kwa wakoloni, miaka itakayo kuja kizazi hiki kitalaaniwa kwa kukubali kupigwa SUMU kwa hiariKama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........
Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??
Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??
Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr
Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
Wazee wetu wameishi na kufia kwenye maeneo au vijiji vyao na wameishi kwa furaha hadi wengine wakavuka miaka 100 na hadi leo hii kuna watu hadi wanazeeka hawajawahi kukanyaga Dar, kuna wazungu hadi wanazeeka hawajawahi kuvuka mipaka ya nchi zao na wengi wanasimuliwa au kuona kwenye luninga maisha ya huku afrika...........kwa hiyo sioni jipya.... utaikubali tu kima wewe! Hijja hutakanyaga bila chanjo; hutavuka mipaka ya nchi bila chanjo! Endelea kujitia upumbavu!
achana na huyo limbukeniWazee wetu wameishi na kufia kwenye maeneo au vijiji vyao na wameishi kwa furaha hadi wengine wakavuka miaka 100 na hadi leo hii kuna watu hadi wanazeeka hawajawahi kukanyaga Dar, kuna wazungu hadi wanazeeka hawajawahi kuvuka mipaka ya nchi zao na wengi wanasimuliwa au kuona kwenye luninga maisha ya huku afrika...........kwa hiyo sioni jipya.
Sasa kama huna elimu au connection na dunia utasafiri uende wapi? Wengine kusafiri duniani ni moja ya mambo muhimu ya kiuchumi na kijamii.Wazee wetu wameishi na kufia kwenye maeneo au vijiji vyao na wameishi kwa furaha hadi wengine wakavuka miaka 100 na hadi leo hii kuna watu hadi wanazeeka hawajawahi kukanyaga Dar, kuna wazungu hadi wanazeeka hawajawahi kuvuka mipaka ya nchi zao na wengi wanasimuliwa au kuona kwenye luninga maisha ya huku afrika...........kwa hiyo sioni jipya.