Yaani nichome sumu kisa connection, kwani nikifia hapa hapa kijijini kwangu sitaoza...Sasa kama huna elimu au connection na dunia utasafiri uende wapi? Wengine kusafiri duniani ni moja ya mambo muhimu ya kiuchumi na kijamii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nichome sumu kisa connection, kwani nikifia hapa hapa kijijini kwangu sitaoza...Sasa kama huna elimu au connection na dunia utasafiri uende wapi? Wengine kusafiri duniani ni moja ya mambo muhimu ya kiuchumi na kijamii.
Mbona chanjo zingine hamtumii nguvu kubwa kuipainga? Hivi mzungu atake kukuua wewe unaweza kukwepea wapi? Hata akitaka kuweka sumu kwenye dawa za malaria tu mtakufa wengi maana ndizo dawa mnazotumia kwa wingi na wala hutojua ila utameza kama dawa ya kutibu malaria.Yaani nichome sumu kisa connection, kwani nikifia hapa hapa kijijini kwangu sitaoza...
Tatizo mnakaririshwa mambo, kwa hiyo kwa akili yako, unadhani madaktari bigwa na wasomi wakubwa kupinga chanjo unadhani wamechanganyikiwa eeh?We wala usichanjwe kaa tu.
1. Matumizi ya condom na net ni hiyari sio lazima lakini umewahi kuhoji nguvu kubwa inatotumika kutaka watu watumie? Unajua ni mamilioni mangapi ya shilingi yanatumika kujenga uelewa wa watu kutumia condom? Unadhani kwanini kama sio kutaka kulinda watu wagumu kama wewe
2. Umewahi kuwa na ndugu yako wa karibu anaingia kufanyiwa upasuaji hospitali ukatakiwa kusaini form ya kujitwisha mzigo na si hospitali, Dokta wala serekali? Kwanini unashangaa kwenye chanjo ya korona.
Hata hizo nguo unazovaa akitaka atakuwekea sumu tu ufe taratibu bila wewe kujua.Yaani nichome sumu kisa connection, kwani nikifia hapa hapa kijijini kwangu sitaoza...
Kwani mauaji wameanza leo, unajua kinachofanyika kwenye chanjo za kuzuia cervical cancer wanazodunga kwa watoto wa kike? mburula kama nyie hamuwezi kuelewa kinachoendelea chini ya kapeti....Mbona chanjo zingine hamtumii nguvu kubwa kuipainga? Hivi mzungu atake kukuua wewe unaweza kukwepea wapi? Hata akitaka kuweka sumu kwenye dawa za malaria tu mtakufa wengi maana ndizo dawa mnazotumia kwa wingi na wala hutojua ila utameza kama dawa ya kutibu malaria.
Yaani hapa ndipo unapoamini kuna watu wanaishi maisha very primitive aise.
Mbona hiyo hujaipigia kelele waache lakini umekomaa na hii tu?Kwani mauaji wameanza leo, unajua kinachofanyika kwenye chanjo za kuzuia cervical cancer wanazodunga kwa watoto wa kike? mburula kama nyie hamuwezi kuelewa kinachoendelea chini ya kapeti....
Vipi kuhusu matumizi ya condom yanapigiwa chapuo kila uchwao lakini hampingi. Kwani kukuwekea sumu kwenye condom imeshindikana?Kwani mauaji wameanza leo, unajua kinachofanyika kwenye chanjo za kuzuia cervical cancer wanazodunga kwa watoto wa kike? mburula kama nyie hamuwezi kuelewa kinachoendelea chini ya kapeti....
Mkuu hilo jambo halijakaa kisiasa usitake ulazimishe liwe hivyo.Chadema mna kinyesi kichwani
Sasa Nani kakufuata ukachanjwe,au unaropoka tuh uwonekane
We ukichapa shuhuli zako za kukuongezea pato Nani anakufuata ukachanje Kama hutaki
Hapo kuna Waafrika kwa mamilioni wabasubiri kwa hamu chanjo/dawa ya UKIMWI iletwe na hao hao wazungu.Kwani mauaji wameanza leo, unajua kinachofanyika kwenye chanjo za kuzuia cervical cancer wanazodunga kwa watoto wa kike? mburula kama nyie hamuwezi kuelewa kinachoendelea chini ya kapeti....
Sio chanjo hii tu,Kama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........
Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??
Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??
Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr
Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
Unayajua matumizi ya kondomu, dawa za uzazi wa mpango, kutoa mimba vinalenga nini, unajua kwa nini hizo project zinapata ufadhili mkubwa kutoka kwenye mashirika kama Bill Gates foundation, kula ugali wako wa matembele ujaze tumbo huna uelewa wowote na kinachoendelea kwenye hii dunia...Vipi kuhusu matumizi ya condom yanapigiwa chapuo kila uchwao lakini hampingi. Kwani kukuwekea sumu kwenye condom imeshindikana?
zile chanjo ni chache sana. NI nilioni moja tu wakati tupo milioni 55.Wewe ata ungetaka chanjo usingepataKama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........
Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??
Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??
Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr
Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
Kwako wewe daktari bingwa ni Dr Gwajima?Tatizo mnakaririshwa mambo, kwa hiyo kwa akili yako, unadhani madaktari bigwa na wasomi wakubwa kupinga chanjo unadhani wamechanganyikiwa eeh?
Ni chanjo ipi umewahi kuchomwa, ukaambiwa usaini likitokea la kutokea serikali haihusiki?
Dunia nzima chanjo inapigwa...we unadhani una akili kuzidi hao wote wanaopinga?
Jana nimesoma habari isemayo, Rais wa Marekani (Biden) ameamua kuwalipa dollar 100 raia wake watakao kubali kuchanjwa, hapo nikapata majibu kua ninae pinga kuchanjwa sipo peke yangu, kumbe mpaka huko duniani.Tatizo mnakaririshwa mambo, kwa hiyo kwa akili yako, unadhani madaktari bigwa na wasomi wakubwa kupinga chanjo unadhani wamechanganyikiwa eeh?
Ni chanjo ipi umewahi kuchomwa, ukaambiwa usaini likitokea la kutokea serikali haihusiki?
Dunia nzima chanjo inapigwa...we unadhani una akili kuzidi hao wote wanaopinga?
Serikali iliyopita iliruhusu uongo utawale na ukweli upingwe hivyo idadi kubwa ya wananchi wana habari za uongo vichwani mwao kuliko ukweli. Serikali ya sasa imeongeza nguvu kwenye kuueleza ukweli na inadiscourage uongo,,, walakini chanjo ni hiari hakuna mtu hata mmoja aliyelazimishwa kuchanjwa.Kama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........
Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??
Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??
Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr
Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
Jana nimesoma habari isemayo, Rais wa Marekani (Biden) ameamua kuwalipa dollar 100 raia wake watakao kubali kuchanjwa, hapo nikapata majibu kua ninae pinga kuchanjwa sipo peke yangu, kumbe mpaka huko duniani.
Huwezi kuona faida yake cuz wewe sio mkewe... Behave your self niggaUna faida gani kwa hili taifa hata usipochanjwa?
Binafsi sichanjwiKama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........
Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??
Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??
Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Nawakaribisha wote hasahasa wanaopigia debe chanjo wakiongozwa na Mshana Jr
Asante sana KikulachoChako kwa hoja hizi.
Tanzania yangu nakuliliaHata wao chanjo hawana imani nayo! Cheki [emoji117]View attachment 1875067