- Sijaona dawa ikivutwa kutoka kwenye chupa
- Mchomaji ameshika kwenye sindano yenyewe
- Mchomwaji hajaonesha kuhisi maumivu
- Kisukumio cha dawa kipo chini ikiashiria syringe haina ujazo stahili wa dawa
- Ushikaji wa sindano na usukumaji wa dawa una mashaka
Kweli bana hata Nurse aliye soma kabisaa hashiki sindano (yaani syringe) ki hivo?? hapa siyo salama kwa wote wawili kwa mchomwaji yaani mteja!! na Nurse mwenyewe Health ethics haziruhusu kuchoma sindano ki hivo!!
Lazima kuwe na gape kubwa kati ya viganja vya Nurse au Dr, (mchomaji,) na mwili wa mteja(Mama) pale panapoingilia sindano ile!! sasa huyu ameonekana km vile anakumbatia sindano hata damu ya mama kashika, tena bila sterile gloves inayo ingia mwilini mwa Mama..
ameiziba kabisaaa kwa viganja vitupu!! tena hajavaa gloves! wala Nurses uniform hajavaa!! huyu Nurse amechezea vingapi ?? amechoma wangapi mpaka kumfikia Mama?? yeye ni salama kiasi gani mpaka kumshika Rais wetu hivo??
Sisi ndiyo wadau wa Afya, ya Mama ina tuhusu sana akifa, akiumia tutalia, tutazimia sisi!! wamechezea, na kuhatarisha afya ya Rais wetu sana, akili wazi km kweli huyo Nurse ni proffesional mfanyakazi wa Afya serikalini!!
amekosea maadili ya Afya hata Private ya mazogoloni huko hawawafanyii wateja wao hivo!!
Kuvaa Gloves salama siyo urembo ni kwa usalama wake Nurse na wa mteja wake!! lkn alivo fanya huyu ni kinyume kabisa na Health ethics!! kwa muktadha huu Napendekeza yafuatayo:
Ashitakiwe huyu Nurse kwa kukiuka maadili ya kazi yake aliyo apa kutokiuka. na
Anyanganywe Lesseni yake ya ku practice !! wkt huo huo
Arudi shuleni akasome upyaa! kwa gharama zake!!
Imeediate appointed Boss wake pia arudi shule sambamba na huyu Nurse!
Baraza la Ma Nurse wote wame kaa kimya lala!! kwani hawaoni huu uvundo? wawajibishe ktk hao!!
Boss wao wa Baraza la Nurses na top layers wote wa baraza hilo wapigwe chini! kwa kushindwa kusimamia hili kikamilifu! km Rais mnene wa nchi ni hivi hao wengine je? ameaibisha taaluma wala siyo uongo!
kwani Baraza la nurses hamuoni hii kashfa? kazi yenu nini hasa??!! Maadili ya kazi yamekiukwa kwa kiwango cha kutisha kwanza huyo Nurse
hajavaa ki professional! nurses appointed Uniform, ni km ameokotwa mtaani hivi tu!! na km alikosea wewe boss wake uliona ulikuwa wapi? ulipaswa kudaka huo mkono unaofanya makosa faster bila kuchelewa! na kukamilisha hilo zoezi wewe!
Well km Taasisi ya Rais imedanganya kwa kuweka mtu asiye sahihi iwajibishwe! mara moja, bila kumungunya maneno!! na iombe Msamaha wa Dhati kwa kuruhusu huu upuuzi! na kuiaibisha taaluma ya utabibu nchini!! na Duniani,
km kweli huyo dada!! km ni Nurse awajibishwe pia na Boss wake!! kwa utoporo huu! yaani huu siyo kwamba ni uzembe tu ni ujinga na hatari mbaya sana umefanyika hapa tena mchana kweupeee!! pia aliye mu-appoint kufanya hiyo kazi awajibishwe!
yaani kutoa chanjo kwa mtu mkubwa anae wakilisha watu Million 60 kizembe zembe tu! namna hiyo! tena wazi wazi! bila kujali lool!! mmezidi wabongo kuwa wajinga..
kitu ambacho huruhusiwi kukifanya km mfanyakazi yeyote wa afya aliye somea taaluma hiyo!!
Haja swab mwili kwa U salama!! kabla na baada ya sindano kuingia mwilini mwa Rais kwa nini? ni kosa!
Ok! labda km kuvuta nyama ya Bega hakuvuta!! kiganja cha mkono wa pili cha nini?? bila swab! hata km angevuta nyama ya bega pangeonekana wazi sindano na dawa inavo penya mwilini hiyoooo!!
Nachelea kusema huyu ni Msanii tu wamemuokota huko akamilishe zoezi hili!!! Km ni hivo Mabaraza yote! ya
Tanganyika Medical Board na hao
Baraza la Manesi wenu
wafamasia nk mkae mjiulize
kwa nini taaluma yenu inachezewa hivo!! wkt mpo hai bila kuchelewa! yaani navo sema hivi anzeni kuitana mkae kikao?? Bila hivo woote Manzi ga Nyanza!
Mkikataa kutoa suruhisho kwa sababu ya kiburi cha ma CCM Dawa yenu ipo rahisi tu! tuta washughulikia kimataifa!! tuone mtachomokea wapi!! na
kwanza hili la COVID Mmesha wauzi wakubwa huko WHO mmekaa kimya mno km hampo hai vile simamieni taaluma yenu! si mnapima bana mnaviona kwa madarubini yenu hayo?? kwa nini mnazungushwaaaa!! kwa Matamko ya wana siasa?? Mnaudhi sana....
Yaani Mwamba ni Dr Mpoki Mwasumbi Urusubisya tu!! ndiyo ana liweza kulikomesha hili Baraza la Madaktari hayumbagi yule bana kuba! Amenyooka hivi..... km rula!