n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Akili za wanachama wa Mbowe ni utopolo mtupu.Utabaki kulialia hivo tu wenzio wanaendelea kushinda kila Uchaguzi.
Nakwaakili zako hizi Kama ndo ungekuwepo wakati wa kupigania Uhuru wa Nchi hii pengine tusingeupata, kwa kuamini kuwa Wakoloni wametuzidi kila kitu Hatuwezi kupata Uhuru wetu.