Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

Utabaki kulialia hivo tu wenzio wanaendelea kushinda kila Uchaguzi.
Nakwaakili zako hizi Kama ndo ungekuwepo wakati wa kupigania Uhuru wa Nchi hii pengine tusingeupata, kwa kuamini kuwa Wakoloni wametuzidi kila kitu Hatuwezi kupata Uhuru wetu.
Akili za wanachama wa Mbowe ni utopolo mtupu.
 
Miaka yako mi
Pamoja na watanzania wengine wanaojielewa na wenye uchungu na nchi hii
Wajinga ndio watamchagua I can't reach you...tena mko wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…