Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kuna nini mdogo wangu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini mdogo wangu...
raraa rereeWewe tena😄
Mcheps wako!WA nini sasa
Hongera Kwa kupata mwenza wa maishaZikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi
Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate
Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana👊
Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA
rora reree comment Yako ni muhimu sana!
Awe anakula Sana soseji Na bila kusahau mayai mawiliUshauriii wangu!!
Nenda ka perform had bwana harusi asijute kuimiliki mazima na rasmi tena halalii.
Usiende kutuangushaa makungwi na nyakangaa, kaoneshee viwango vya Real Madrid ikiwa kwenye mashindano ya UEFA.
kachezeee vipira na pump ya bwana harusi, had aone ni mbwigaz waliochezea kabla yako.
Hongeraa bi harusi, na shughuri ikafane sanaa!!
🤣🤣🤣🤣 dada kama dada..Wewe tena😄
Tupe experience ya ndoa Kwa Huo muda mfupi tangu uoleweWamama woote waheshimiwe ..
Eeh