Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

🤣🤣🤣🤣😂 ovyo sasa huko fungate unaenda kufanya nini siku 14 zote izoo wakati bi**kra haipo mda mrefu fungate ni kwa wanawake wote ambao hawajai kukuta ki mwili

Hahahaha fungate sio utelezi tu
 
Kwa hiyo roraa reree umegoma kutoa neno🤣🤣
Ujue nakusubir ww ni log out 😂
min -me na Labella hakikisha nimepata neno kutoka rora nataka ni log out bana😂
 
Kari
Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi

Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate

Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana👊

Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA

rora reree comment Yako ni muhimu sana!
Hongera...amani ikatawale nyumba Yako.
 
Back
Top Bottom