Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mashaka sana na wanawake kama wewe mnaoexpose ndoa mitandaoni. Naamini hapo unachowaza zaidi ni sherehe itakavyokuwa kubwa, jinsi utakavyopendeza, na mabo mengine madogo madogo kama hayo. Hofu yangu ni kuwa utakuwa haujajiandaa kikamilifu kuwa mke. Isijekuwa miezi michache ijayo uanze kuomba ushauri humu jinsi ndoa yako imekuwa ngumu. Ndoa ni zaidi ya comment za mitandaoni.Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi
Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate
Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana👊
Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA
rora reree comment Yako ni muhimu sana!
Si comment chochote 🙃Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi
Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate
Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana👊
Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA
rora reree comment Yako ni muhimu sana!
Embu semaa Bibie Ty?Oyoooo
😉Embu semaa Bibie Ty?