Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
- Thread starter
- #101
Maneno mazito sana!Naona unafurahia sana kufungua ukurasa mpya katika maisha. Hongera..!
Jambo la muhimu la kuweka akilini ni kwamba...Uimara, furaha, upendo wa ndoa yako unakutegemea wewe(ke)
Huo ni ukweli mchungu.
"Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe".....Na kinyume chake.
Kila la kheri binti yangu!
Asante mkuu!
Nimetoa kitu🤝