Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Naona unafurahia sana kufungua ukurasa mpya katika maisha. Hongera..!

Jambo la muhimu la kuweka akilini ni kwamba...Uimara, furaha, upendo wa ndoa yako unakutegemea wewe(ke)
Huo ni ukweli mchungu.

"Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe".....Na kinyume chake.

Kila la kheri binti yangu!
Maneno mazito sana!
Asante mkuu!
Nimetoa kitu🤝
 
Mbona hujamkumbusha kuna muda hata akae kichele mjurusi hausimami avumilie [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivii inawezekanaa? Hapanaaa!!
Yeye ndo akiona mjurubengaaa kuna sometimes mshipa wa nyege hausisimkiii.

Ila mwambaa mda wote akiona kindondoriii, kitongo kinasimama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha., Dah
 
😹😹😹 wanaume wa siku hizi nguvu zinawahi kuisha mapema.!!
Wanatamani kula ila mtalimbo umelala doro
 
Kila la heri Nyamwi255 maisha ya ndoa yanahitaji zaidi busara kiliko mihemuko. Kila mmoja wenu ajitahidi kukaa kwenye nafasi yake. Na kila mmoja ampe mwenzie heshima anayostahili.

Wewe kama Mke unapaswa kuwa "mtiifu" kwa Mumeo huku ukitambua kuwa yeye ndio kichwa cha familia. Hakuna 50, 50 kwenye taasisi ya ndoa. Mume ndiye "mtawala" wa hiyo taasisi.

Ukiyajua hayo na kuyafanyia kazi mtaishi maisha mazuri yenye amani. All the best!
 
Back
Top Bottom