mushora
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 376
- 909
Siri ni moja tu, ukawe nyenyekevu na mtiifu, umemaliza.Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi
Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate
Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana👊
Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA
rora reree comment Yako ni muhimu sana!
Achana na yule kijana uliemfia, siku ukichepuka kumbuka ndoa ndo kwishney, yanabaki mahusiano kama boy na girl friend. Halafu yajayo yanahuzunisha