Nitakumis pia wewe na roraaβΊοΈHongera sana Nyamwi255 ndani ya hizo siku 14 natumai da maua atashika gurudumu kulingurumisha tena, nitamisi sana nzuriπ€© zako πππππ.
kumbe siku zimeisha namna hii Nyamwi255Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi
Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate
Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sanaπ
Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA
rora reree comment Yako ni muhimu sana!
Hapo badilisha kungwi umedanganywa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kungwi kanambia Kuna nyingine ni heavy weight nl hazifinyiwi!
Sema wewe una haiba ya upole na unyenyekevu sna ,nitakumisi sana pia hongera ni hatua kubwa sana.
Kila la kheri! Cha muhimu hakikisha mbususu hiko vizuri kushughurikiwa masaa 24!Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony