Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi

Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate

Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana👊

Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA

rora reree comment Yako ni muhimu sana!
Kat****we mama, sisi hatuna kinyogo so far uchi ni wako hizo siku 14 ni chache sana. Nikutakie kila la kheri ukitoka hanimuni nitakukutanisha na raraa reree, sema ndo hivyo utakuwa umetumika sana.
 
Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi

Nitarud online baada ya kumaliza siku 14 za fungate

Kwa kipindi hicho ambacho ntakuwa offline
Ntawamisi wanangu sana👊

Hivyo basi nipe neno/nishauri jambo KUELEKEA kuanza maisha mapya ya NDOA

rora reree comment Yako ni muhimu sana!
raraaa rareee naye yupo fungate hivyo utamisi neno lake,ila Ziro IQ yupo kwa line bila shaka atatoa neno🤗
 
Back
Top Bottom