Zikumbatie na zilinde kwa wivu hizi rasilimali zako nne muhimu ili ufanikiwe, zinawindwa na wengi

FINANCIAL MARKET

New Member
Joined
Apr 15, 2024
Posts
2
Reaction score
11
Rasilimali ya kwanza:

✅Uwezo mkubwa ulio ndani yako.

Kila binadamu aliye hai, ana uwezo mkubwa na wa kipekee kabisa ambao upo ndani yake. Huo ni uwezo ambao akiweza kuutumia anaweza kupata chochote anachotaka kwenye maisha yake.

Kwa bahati mbaya sana, wengi wanapuuza uwezo wao na kuishia kuiga wengine na kufuata mkumbo. Hilo linawapelekea kupata matokeo ya kawaida au hata ya chini kabisa.

Kujenga mafanikio makubwa, tambua una uwezo mkubwa ndani yako na utumie kufanikiwa. Sikiliza sauti yako ya ndani na ifuate hiyo. Usiige wengine wala kufuata mkumbo wa kufanya yale yanayofanywa na wengi.

✅Rasilimali ya pili ni Vipaji ulivyonavyo.

Kuna vitu ambavyo wewe unaweza kuvifanya vizuri kuliko watu wengine wote. Vitu hivyo ndiyo vimebeba mafanikio makubwa unayoyataka, kwani unaweza kuongeza thamani kubwa kwa wengine kupitia vitu hivyo.

Kwa bahati mbaya sana, watu wengi wamekuwa wanapuuza vipaji vyao na kufanya mambo ambayo ni ya kawaida. Kwa hayo ya kawaida wanayokuwa wanafanya wanashindwa kutoa thamani kubwa kwa wengine na hilo kuwanyima mafanikio makubwa.

Kujenga mafanikio makubwa, tambua vipaji ulivyonavyo kisha vifanyie kazi hivyo kwa uhakika. Kwenye yale mambo ambayo unaweza kuyafanya vizuri kuliko wengine, angalia thamani kubwa unayoweza kuitoa kwa wengine kupitia hayo, kisha itoe hasa. Mwanzo unaweza kufanya hata kama hakuna anayekulipa, lakini baadaye utaweza kulipwa sana kwa sababu ya thamani kubwa utakayokuwa unaitoa.

✅Rasilimali ya tatu ni Muda wako.

Kama kuna demokrasia ya kweli hapa duniani basi ipo kwenye muda tu. Hiyo ni kwa sababu muda ndiyo kitu ambacho kimetolewa kwa usawa kabisa kwa watu wote. Kila mtu ana masaa 24 pekee kwa siku, masikini na matajiri, wote sawa. Hayupo anayeweza kupata hata dakika moja ya ziada kwenye siku yake.

Kama muda wa watu unalingana, lakini matokeo yao yanatofautiana, hiyo ina maana kwamba jinsi wanavyotumia muda wao inatofautiana pia. Wengi wanapoteza muda wao kwenye mambo ambayo hayana tija kabisa kwao. Wanahangaika na mambo ambayo hayana mchango kwenye mafanikio wanayotaka kuyajenga. Wanaishia kupoteza muda na kukosa mafanikio.

Kujenga mafanikio makubwa, kuwa na usimamizi sahihi wa muda wako. Pangilia muda wako vizuri na utumie kwa hayo tu uliyopangilia. Usifanye chochote ambacho hakina mchango kwako kufanikiwa. Na kadiri unavyokuwa unapiga hatua, nunua muda wa wengine pia ili uweze kuzalisha matokeo makubwa zaidi.

✅Rasilimali ya nne ni Nguvu za mwili wako.

Mwili wako ni kama betri ya simu, unapolala ni kuuchaji. Hivyo unaamka mwili ukiwa umejaa chaji, ambazo ni nguvu za mwili. Sasa basi, kila unachofanya kinakuwa kinapunguza nguvu hizo. Mpaka siku inaisha, mtu anakuwa ametumia nguvu zake zote. Swali ni je anakuwa amezalisha matokeo gani?

Kwa walio wengi, wanatumia nguvu zao za mwili kufanya mambo ambayo hayana tija kabisa. Yaani wanafanya mambo ambayo hayana mchango wowote kwenye mafanikio yao. Hilo linawapelekea kuchoka sana, lakini hakuna hatua wanakuwa wamepiga.

PS: By the way kama unapenda kufaidika na rasilimali zako kwa kuwekeza sehemu kama vile Hisa lakini kwa bahati mbaya bado hufahamu vizuri uwekezaji huo basi gusa link. Financial market kupata Mwongozo BURE wa kuwekeza kwenye hisa .

Cc : Coacher Makirita Amani
 
Kocha kasema
 
Yes! Hiyo namba mbili ndo naitumia vzr na ndo inanifanya niishi mjini
 
Niliposoma kichwa cha habari,nikasema, oooh yes, ngoja Nile madini hapa, nikiwa nime relax, lakini sauti kwa mbaaaali, inaniambia hz ni motivation tu, huko, mbele utaambiwa nunua kitabu, hz point zimewekwa kama ulimbo tu,
Kumbe kweeeeli
 
Gamondi endelea kutupa nondo za kutoboa maisha
 
Hongera mkuu ni mambo muhimu Sana hayo
 
Back
Top Bottom