Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Kipindi Mh. Magufuli katutoka kulitokea malumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule uhayani Prof. Tibaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote.
Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa. Ndugu zangu mnaojua, vipi umefikia wapi huu mpango au ndiyo tusubili mwakani kipindi mwendazake atakapotimiza mwaka mmoja wa kifo chake ndo uibuliwe tena?!
Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa. Ndugu zangu mnaojua, vipi umefikia wapi huu mpango au ndiyo tusubili mwakani kipindi mwendazake atakapotimiza mwaka mmoja wa kifo chake ndo uibuliwe tena?!