crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Mnashindwa na nani tena?!sasa waliopo sasa madarakani si waiache tu hio miradi. kwani lazima kuindeleza kama pesa hakuna. mnashindwa hata kufikiri vitu vinavyoleta tija mbawaza umbea tu.
Ukweli ni kuwa, kuna vingine haviachiki, tena labda vina mikataba fungani. Kuviacha ni hasara kuliko kumalizia.