Zile kelele za Chato kuwa mkoa zimekomea wapi?

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Kipindi Mh. Magufuli katutoka kulitokea malumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule uhayani Prof. Tibaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote.

Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa. Ndugu zangu mnaojua, vipi umefikia wapi huu mpango au ndiyo tusubili mwakani kipindi mwendazake atakapotimiza mwaka mmoja wa kifo chake ndo uibuliwe tena?!
 
Hivi mtaacha lini ujinga nyinyi. baada ya kuongea mambo ya maana kama kubambikiwa matozo mnaleta mada za kimbea. sasa chato iwe mkoa au wilaya itakusaidia nini. hii nchi kuiongoza rahisi sana sababu wajinga ni wengi mno.
 
hivi mtaacha lini ujinga nyinyi. baada ya kuongea mambo ya maana kama kubambikiwa matozo mnaleta mada za kimbea. sasa chato iwe mkoa au wilaya itakusaidia nini. hii nchi kuiongoza rahisi sana sababu wajinga ni wengi mno.
Sasa mzee unataka masaa 24 watu wazungumzie tozo tu? Maisha mengine lazima yaendelee mjomba.
 
Hata bomba la mafuta mlisema ni changa la macho. Subiri Julai, 2022 ifike.
 
hivi mtaacha lini ujinga nyinyi. baada ya kuongea mambo ya maana kama kubambikiwa matozo mnaleta mada za kimbea. sasa chato iwe mkoa au wilaya itakusaidia nini. hii nchi kuiongoza rahisi sana sababu wajinga ni wengi mno.
Kiuhalisia hizo tozo unazotaka ziongelewe zimetokana na maamuzi ya miradi mingi kwa pamoja kwenye enzi hizo hizo za kutaka Chato iwe Mkoa. So kuna uhusiano.
 
Hapo umbea umetokea wapi tena mkuu. Hili suala tunalizungumzia tu maana naona limewekwa kiporo likisubili mwaka wa kumuenz magufuli hyo 2022 lianze upya na hapo ndo hzo tozo unazosema tuzisemee ztapanda zaidi. Tozo unazotaka tuzisemee ndiyo zliletwa baada ya fedha nying sana kuelekezwa huko machakani chato
 
Mm naulizia kiwanja chato.
 
Subiri siku ya kuzima mwenge pale chato utasikia
 
lipo tamisemi kwa hatua za mwisho kabla ya kutangazwa kwenye gazeti LA serikali
 
Kiuhalisia hizo tozo unazotaka ziongelewe zimetokana na maamuzi ya miradi mingi kwa pamoja kwenye enzi hizo hizo za kutaka Chato iwe Mkoa. So kuna uhusiano.
Sasa waliopo sasa madarakani si waiache tu hio miradi. kwani lazima kuindeleza kama pesa hakuna. mnashindwa hata kufikiri vitu vinavyoleta tija mbawaza umbea tu.
 
kwa upuuzi huu tutaletewa matozo kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…