Mnashindwa na nani tena?!sasa waliopo sasa madarakani si waiache tu hio miradi. kwani lazima kuindeleza kama pesa hakuna. mnashindwa hata kufikiri vitu vinavyoleta tija mbawaza umbea tu.
Ni ujinga kiwango cha phd labda na lindi iwe nchi!Kipindi Mh Magufuli katutoka kulitokea marumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya Wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule Uhayani Prof Tibhaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote.
Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa, ndugu zangu mnaojua vipi umefikia wap huu mpango au mdo tusubili mwakan kipindi mwendazake atakapotimiza mwaka mmoja wa kifo chake ndo uibuliwe tena
Moshi vijijini iwe nchi basi.Kipindi Mh Magufuli katutoka kulitokea marumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya Wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule Uhayani Prof Tibhaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote.
Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa, ndugu zangu mnaojua vipi umefikia wap huu mpango au mdo tusubili mwakan kipindi mwendazake atakapotimiza mwaka mmoja wa kifo chake ndo uibuliwe tena
Sifa za kuwa mkoa ni zipi? Unazifahamu?Chato haina sifa ya kuwa Mkoa.
Vigezo ni vipi?Sidhani Kama inakidhi vigezo na italeta tija.
Chato haina vigezo kuwa hata wilaya labda ZOO maana wanyama walipekwa kwa nguvu na kulazimoshwa kuishi kwenye mazingira wasiyoyapenda wala kuyazoea ili MWENDAZAKE AWE KAMA MOBUTU KILA ANAPOKUWA CHATO UWANJA WA NDEGE KWISHAA TAA ZA BARABARA ZINAONGOZA PUNDA AFADHALI WANGEPELEKA HATA KULE SUMBAWANGA KWETU KUNA UMUHIMU ZAIDIKipindi Mh Magufuli katutoka kulitokea marumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya Wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule Uhayani Prof Tibhaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote.
Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa, ndugu zangu mnaojua vipi umefikia wap huu mpango au mdo tusubili mwakan kipindi mwendazake atakapotimiza mwaka mmoja wa kifo chake ndo uibuliwe tena
Kasemaje kwan?wengine hatujaipata kauli aliyosemaJahazi Imezama Njombe Baada Ya Kauli Ya Rais
Kuna ugonjwa watanzania tunaugua mkuu. Mambo ya kijinga ndiyo tunayaoigia chapuo. Upumvavu unewajaa watanzaniaHivi mtaacha lini ujinga nyinyi. baada ya kuongea mambo ya maana kama kubambikiwa matozo mnaleta mada za kimbea. sasa chato iwe mkoa au wilaya itakusaidia nini. hii nchi kuiongoza rahisi sana sababu wajinga ni wengi mno.
Kasema kasitisha utaratibu wa kumega maeneo kwa ajili kubadili hadhi ya vitongoji, wilaya, mikoa.Kasemaje kwan?wengine hatujaipata kauli aliyosema
Kasema Kwasasa Tanzania Haitagawa Maeneo Ya Utawala Maana Ni Mzigo Kwa Serikali Linapokuja Suala La UemdeshajiKasemaje kwan?wengine hatujaipata kauli aliyosema