Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

Mimi unachoniudhi Nyani Ngabu ni kitu kimoja tu!

Inakuwaje hujui akili za nyumbu?

Nyumbu tangu lini akawa na akili zaidi ya ile ya kugundua kwamba haya ni majani ale?
Kweli aisee....🤣🤣
 
Hapa dasalamu mvua ilikuwa inanyesha, so vijiwe vya kahawa vilikuwa havikaliki mkuu, ngoja ikatike kabisa utasikia tena
 
Mkuu Nyani Ngabu bongo wamejaa watu wenye kujadili vitu vya kijinga badala ya vitu vya kuwajenga wao wenyewe.

Sisi watu wa mikoa ya mipakani tumezoea sana huu ujinga wa kuitwa warundi na wanyarwanda.

Ni usumbufu fulani wenye kuletwa na sababu nyingi na mojawapo ni ubaguzi tu.
 
Watanzania ni Watu wa kupenda Kuhemka Kimatukio halafu Ni wepesi pia kusahau Jambo. Tusamehe na jitahidi utuzoee tu Ndugu.
 
Tuna kizazi cha hovyo sana kizazi cha ukimwi na leo kinakuja cha corona
 
CAG na genge lake walitaka kumbomoa Mh Rais kwa hiyana zao za kutaka kumfitinisha na wananchi walio wengi. Hiyana hizi ambazo zina fikirisha sana kujua nani hasa aliye nyuma ya hizi na kwa faida gani?

Yeyote aliye kuja na mkakati wa kujaribu kumpaka oil chafu mwenzazake hata baada ya kuona ule uombolezaji wa Watanzania huyu hamtakia mema Rais SSH. Alitaka kumharibia kwa kumchafua kwa kutumia hila.

Na hata choka baada ya mbinu hii kushindwa atatafuta nyingine. Na ndiposa tutataka kuona ile akili ya mwanamke tofauti naya bustani ya Eden ya Hawa, ambayo ilituingiza the whole humanity kwenye kuanguka katika dhambi.
Wameambiwa ACT imerithi madeni mengi tu ya nyuma, nadhani rais amewaonyesha kwamba hizo hasara sio za awamu hii tu.
 
ACT ni chama cha Zitto wewe. Jiuhusishe na mambo ya uwezo wa akili yako, haya mengine utapuyanga tu.
Wameambiwa ACT imerithi madeni mengi tu ya nyuma, nadhani rais amewaonyesha kwamba hizo hasara sio za awamu hii tu.
 
Kweli aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi yule mkurugenzi wa bandari naye ishu yake imefikia wapi?
Kwani zile kelele za 'atake asitake ataongezewa muda' bado unazisikia?
 
Mambo kama haya mimi nayadharau sana kwa kuwa yana nia ovu na ni unrealistic.

Tukianza kutafuta asili za watu mbona tutakesha.Hakuna mtu ambaye origin yake ni Tanzania,wote ni wahamiaji tu.Origin yetu wote kama binadamu ni Middle East in Iraq kwenye bonde la Euphrates River.Tuache ujinga.
 
Wameambiwa ACT imerithi madeni mengi tu ya nyuma, nadhani rais amewaonyesha kwamba hizo hasara sio za awamu hii tu.

Kwa nini CAG atoe tarifa hizi kwa stili ya kudemka kwa taarab flani hivi. Ripoti za CAG kipindi cha nyuma si zilitolewa na haya madudu yalikuwepo?
 
Wadanganyika wana silka ya kuhemkwa... ukiona hivyo mhemko khalaas...
 
Wapiga ramli muda sio mrefu wataanza kumkejeli SSH,huwezi kuelewa wanataka nini
 
HAWA WAPIGA KELELE WANAJULIKANA SASA KWANI KAZI YAO NI KUKURUPUKA KUONESHA KUWA WAO NI WAZALENDO KULIKO WENGINE!!! JUZI TENA WAMEKURUPUKA BILA KUWA NA FACTS WAMEKUJA ETI RAIS AMETEUA SINGO ILI HALI SIO RAIA WA TANZANIA BALI MMAREKANI!!!

WALIPOGUNDUA KUWA WAMEKURUPUKA WALIKUWA HAWAMFAHAMU VIZURI SINGO, WAMEKIMBIA KAMA VILE KOBE ANAVYOINGIZA SHINGO YAKE NDANI YA NYUMBA YAKE!!! TUMEKWISHA WASOMA SASA KUWA HAWA NI WATU WA FITINA.
 
Hapo sasa, ila siyo yeye tu, wako wengi wanashutumiwa hayo...
Ila lazima tusisitize, uraia pacha, is a must...
 
Kwa sasa wale "paka weusi" au vijana wa "system" hawataki ujinga. Wanakupeleleza kimya kimya. Wakijua unacheo kikubwa na wewe sio raia,wanafanya "CONSTRUCTIVE REPLACEMENT"
Tayari walishafanya "unthinkable replacement"na kuwaondoa yule jamaa na wale mabwana warefu warefu wenye pua ndefu kutoka kwenye ile "nyumba ya msonge"
Naambiwa hata wale waliokuwa wanalinda lile "boma" lililokuwa limezungushiwa "seng'enge"ambao walikuwa wameletwa kutoka "ng'ambo ya bonde" wamepukutisha kama wale panzi.

Kama ni kweli jamaa si raia,mwambieni akimbie mapema. Kuna usafi wa fagio la chuma unafanywa kwenye mafiga yote matatu. Hivi karibuni Kuna mmoja huenda akakutana na ,,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom