Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

Kwenda jeshini si hoja.Joseph Kabila alienda jeshini JKT na pia mgombea wa chama chake alimwachia kijiti pia walikuwa wote JKT
 
Ni Mrundi...kaonekana anacheza ngoma ya Kirundi...sijui jina lake anaitwa Ntiba-somebody...

Hizo ndo kelele walizopiga baadhi ya watu kwenye mitandao wakiongozwa na mtu yule..

Sasa ghafla naona zimeisha. Watu wameacha kuhoji uraia wa makamu wa Rais, ambaye alizaliwa Kigoma. Akasoma shule kuanzia ya msingi mpaka chuo kikuu hapa hapa nchini!

Ambaye baada ya kumaliza kidato cha sita, alienda jeshini kama ilivyokuwa ada ya enzi hizo!

Huko jeshini walikuwa wanajifunza uzalendo na ukakamavu.

Licha ya yote hayo na mengineyo, bado tu kuna watu ambao hata jeshini hawajawahi kutia mguu, walikuwa wanahoji uraia wake!

Sasa ni kimya. Kwa nini?

Lishapatiwa ufumbuzi au?

Sasa wamekubali kwamba yeye ni raia mzalendo au wameona kuwa hawana hoja na wameamua kukaa kimya kana kwamba hawakupiga kelele hapo mwanzoni?

Maajabu!!!
siasa za upinzani ni mpaka ulewe mdo utawaelewa
 
Hiyana hizi ambazo zina fikirisha sana kujua nani hasa aliye nyuma ya hizi na kwa faida gani?
Mkwere na msoga gang.
Kwa lengo la kuturudisha kwenye enzi za upigaji wa kutisha, kulinda biashara haramu, kulinda biashara ya mwanae ya kuuza sembe, nk
 
Litaibuka tena iwapo atapaswa kuachiwa nchi. Maana urais unahitaji raia mwenye sifa za uraia zote, ni zaidi ya kuzaliwa.

Kama ulihamia toka kwingine huwezi pewa urais.
 
Back
Top Bottom