Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Kweli aisee....🤣🤣Mimi unachoniudhi Nyani Ngabu ni kitu kimoja tu!
Inakuwaje hujui akili za nyumbu?
Nyumbu tangu lini akawa na akili zaidi ya ile ya kugundua kwamba haya ni majani ale?
Ishaisha na yenyewe, Makamanda ni masahaulifu sanaKweli aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi yule mkurugenzi wa bandari naye ishu yake imefikia wapi?
Wameambiwa ACT imerithi madeni mengi tu ya nyuma, nadhani rais amewaonyesha kwamba hizo hasara sio za awamu hii tu.CAG na genge lake walitaka kumbomoa Mh Rais kwa hiyana zao za kutaka kumfitinisha na wananchi walio wengi. Hiyana hizi ambazo zina fikirisha sana kujua nani hasa aliye nyuma ya hizi na kwa faida gani?
Yeyote aliye kuja na mkakati wa kujaribu kumpaka oil chafu mwenzazake hata baada ya kuona ule uombolezaji wa Watanzania huyu hamtakia mema Rais SSH. Alitaka kumharibia kwa kumchafua kwa kutumia hila.
Na hata choka baada ya mbinu hii kushindwa atatafuta nyingine. Na ndiposa tutataka kuona ile akili ya mwanamke tofauti naya bustani ya Eden ya Hawa, ambayo ilituingiza the whole humanity kwenye kuanguka katika dhambi.
Wameambiwa ACT imerithi madeni mengi tu ya nyuma, nadhani rais amewaonyesha kwamba hizo hasara sio za awamu hii tu.
Kwani zile kelele za 'atake asitake ataongezewa muda' bado unazisikia?Kweli aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi yule mkurugenzi wa bandari naye ishu yake imefikia wapi?
Wameambiwa ACT imerithi madeni mengi tu ya nyuma, nadhani rais amewaonyesha kwamba hizo hasara sio za awamu hii tu.