Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

Kwenda jeshini si hoja.Joseph Kabila alienda jeshini JKT na pia mgombea wa chama chake alimwachia kijiti pia walikuwa wote JKT
 
siasa za upinzani ni mpaka ulewe mdo utawaelewa
 
Hiyana hizi ambazo zina fikirisha sana kujua nani hasa aliye nyuma ya hizi na kwa faida gani?
Mkwere na msoga gang.
Kwa lengo la kuturudisha kwenye enzi za upigaji wa kutisha, kulinda biashara haramu, kulinda biashara ya mwanae ya kuuza sembe, nk
 
Ile ilikuwa baseless claim. Source yake ikiwa mtu mmoja huko Twitter kabla Kigogo na Fatma hawajaishikia bango - without any evidence
Sijui TLS walivutiwa na nini kumchagua kuwaongoza!
 
Litaibuka tena iwapo atapaswa kuachiwa nchi. Maana urais unahitaji raia mwenye sifa za uraia zote, ni zaidi ya kuzaliwa.

Kama ulihamia toka kwingine huwezi pewa urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…