Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ni kweli tumesahaulika mkuu😔Yani walimu kama jinsia Ke mnapenda sana kuonewa huruma
Kuna kada nyingi tu zamuhimu na maslai yao ni kidogo ila nyny tu ndio mnaona mnaonewa na mna staili zaidi!Maana ni kweli tumesahaulika mkuu😔
Acha watu wale Bata,hizo gari za kubeba washangiliaji tuu ni milioni kibao.Ndio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi,
Wanunue chakula,
Wapate nauli ya kwenda kazini,
N.k
Wakati kuna milioni nyingi tu zinaharibiwa huku!
Milioni 50
Unajenga nyumba ya kuishi familia mbili za walimu katika eneo la shule,
Na kumpunguzia mwalimu adha ya kulipa kodi,
Faida mojawapo ya mwalimu kukaa shule ni kumuongezea ufanisi na kurahisisha utendaji kazi ...
Najua chawa mtakuja kupiga kelele lakini huo ndio ukweli..
Tunapeleka hela Sehemu sio ili kutafuta kiki
Ndiyo mkuu,serikali ituangalie Sana...maana kila anaeandika comment hapa kapitia kwetu...wasitusahau kwa kweliKuna kada nyingi tu zamuhimu na maslai yao ni kidogo ila nyny tu ndio mnaona mnaonewa na mna staili zaidi!