Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Umekubari akupake na mafuta kabisa? Kweli hiki kizazi kinakimbia speed ya Jet 🤪amenipaka na mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekubari akupake na mafuta kabisa? Kweli hiki kizazi kinakimbia speed ya Jet 🤪amenipaka na mafuta
TayariJambo jema umemtendea, i hope hautaomba malipo ya aina yoyote ile kutoka kwake
Ataomba mafuta apakwe au hujasikia amesema hivyo amempaka mafuta, 🤪Jambo jema umemtendea, i hope hautaomba malipo ya aina yoyote ile kutoka kwake
Yes anipe mimi muhuni nikampande huyo mdadaHiyo namba akupe uende ukambaliki mdada wa watu
Atakupaje wakati na yeye anataka sasa.Yes anipe mimi muhuni nikampande huyo mdada
Yeye hataki, eti anapewa namba anapiga anaanza kumtafutia mtu kazi, kwani alikomkuta mwanzo si ni kazini, huyu pdidy wa mchongo huyu. Kaniudhi sanaAtakupaje wakati na yeye anataka sasa.
Kasemaje,kwamba alipewa namba,badae ile namba ilipiga. Maana yake aliikalili. Je,my wife wake mpendwa ajalijua?Yeye hataki, eti anapewa namba anapiga anaanza kumtafutia mtu kazi, kwani alikomkuta mwanzo si ni kazini, huyu pdidy wa mchongo huyu. Kaniudhi sana
Naenda kumchongea kwa mke wake jamaa lipigwe mangumi kama bushokeKasemaje,kwamba alipewa namba,badae ile namba ilipiga. Maana yake aliikalili. Je,my wife wake mpendwa ajalijua?
Halafu anajiona mjanja, huyu pdidy wa wapi huyuKamtoa bar kwenye matipu kibao,kampeleka kwenye bus ambako hakuna tipu huko!!
Huyu Lazima atakua pdidy wa Magufuli terminal, ndiyo maana michongo ya ma bus anayo!!Halafu anajiona mjanja, huyu pdidy wa wapi huyu
Boss upo?Atarudi. Wanasemwga ngumu kuiacha ile kazi
Kwenye basi hakuna tipu?Kamtoa bar kwenye matipu kibao,kampeleka kwenye bus ambako hakuna tipu huko!!
Boss upo?
Hivi wale ndugu zetu kule posta bado wapo?
Kuna siku nilipita mida ya asbh,nikachungulia sikuwaona.
Kumbuka akienda kuiba au kufanya tukio lolote la kihalifu ,wewe ndiye utakuwa wa kwanza kutiwa nguvuni.Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo
Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi
Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa.
Kuna mdada leo amepatata kazi.
Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida dada akasema hapana mungu kaniona wooh, kufika nikamkuta ana nguo za moja ya mabasi yaendayo Moshi.
Nikamwambia umeanza lini akajibu leo ndio nimeingia na safari naanza jumatatu ijayo.
Ilikuwaje nilipita sehemu mwezi na nusu uliopita huyu mdada aalikuwa anatoa huduma baadae akanipa karatasi ya bill kusoma nkaona namba nkawaza huyu sijamwomba namba wacha nijue ana shida gani. Nkaongea nae akasema atanipigia kesho yake.
Alipopiga niilikuwa busy nkamwomba ntampigia..Nilipopiga akajieleza sana akaomba msaada amesoma mpaka form four ametafuta kazi kila sehemu amekosa wapo waliojaribu kumtumia kumpa kazi wakamtosa....
Nikamweleza ntakujulisha lii uje sehemu na vyeti vyako mdada alifanya hivyo ..Nikapeleka w kwenye mabasi mbali mbali wakasema wakihitaji watampigia.
Hamada nilishassaahau kabisa niliposikia hili nilisema msidharau zile namba sio kila mmoja anataka ukamtumie wengine wana shida wanashindwa kujieleza wakiwa kazini.
Otherwise msaidie mwenzie uje kusaidiwa mbele ya safari, tenda wema uende zako ...Nimemhaidi ntatumia basi yako kwenda na kurudi na familia yangu December.
Styblsd
Letslovelead
AiseeeNipo mkuu. Walirudi kiwizi wizi, nikaenda kununua miwili kabisa wakipotea nibaki na maisha. Maybe weekend hasa jumapili?
Sema ukweli wwe toka lini ulikata ticket ukatoa tipu kwa konda!!? Lakini Walevi kila siku wanatoa tipu na bado wanabambikiziwa bili lakini kwa kua wako tungi wao wanatoa tu majuto kesho atajijua anaanzaje siku yake mpya!!Kwenye basi hakuna tipu?