Zile suti za kina Feisali ni za kuendeshea bajaji usiku

Zile suti za kina Feisali ni za kuendeshea bajaji usiku

Fei amezingua kwenye miwani kukaa upende Jicho moja limezibwa lingine kidogo lionekane..[emoji23][emoji23]
 
Ila morison hapendezagi hata avae nini, hapo suti saafi ila bado yuko kama homeless[emoji2297]
 
watanzania hawajielewi..wanataka jamaa aigize maisha ambayo yeye hayataki?. Alafu vinguo vya kubana maungo kwa wanaume sio kupendeza huko wala kuonekana uko smart. Ni ushoga uliojificha kwenye nguo hizo....mwanaume akivaa nguo za kubana mwili anakuwa hana tofauti na mwanamke..tuweni makini. Dogo alipendeza acheni stori za vijiweni..thamani yake ipo palepale
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha mpaka mbavu zimeuma
Alikuta kiingilio koti akatoka nje chap akamuwahi dereva maana nae alikua anapotelea kwenye kona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Yanga bhana hawaishi vituko[emoji1787][emoji1787][emoji1787] check miwani wa Toto imekaa upande koti kubwa kama steve wassira ananing'iniza vi-IPOD

Huyu jamaa wa kushoto ndio suti alovaa sasa[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Nimeangalia hiyo picha nimecheka mbaya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ilikua ni fashion show kiasi kwamba waende kushindana kuvaa?
 
Back
Top Bottom