Zile timu ambazo tulikuwa tunazipokea zikija Dar sasa ni wakati wa kurudisha ukarimu wetu kwao

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?

Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
 
Hii team yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana flani iliachwa kwetu.

Nawaza tunaenda Sudan. Ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?

Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Ni imani yangu unawasema waleee👆👆"Simba Spori Clube" wasirudie maujinga yao.Hadi walivaa na "jenzi" za Orlando Pirates!
 
Kuna Mashabiki Wana Jezi Lumbesa Za Timu Tofauti Tofauti!
 
Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?

Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Uzuri wa uzi uwe na kapicha ka kunogesha
 
Attachments

  • images (1) (1).jpeg
    images (1) (1).jpeg
    24 KB · Views: 3
Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?

Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Nadhani waliwapokea Al Merrick wakala nyingi, vipi huko Tate Mkuu wamewapokea?
 
UNAAMBIWA MAKABI LILEPO NA LAMINE DJAJUE WAMEGOMBANA SANA WOTE WANATAKA KUCHEZA UPANDE WA KIBWANA SHOMARI[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?

Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Subiri kesho uone Wananchi watakavyo shangiliwa na Wasudan wenyewe.
 
Back
Top Bottom