Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ni imani yangu unawasema waleee👆👆"Simba Spori Clube" wasirudie maujinga yao.Hadi walivaa na "jenzi" za Orlando Pirates!Hii team yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana flani iliachwa kwetu.
Nawaza tunaenda Sudan. Ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?
Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Uzuri wa uzi uwe na kapicha ka kunogeshaHii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?
Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Nadhani waliwapokea Al Merrick wakala nyingi, vipi huko Tate Mkuu wamewapokea?Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?
Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Subiri kesho uone Wananchi watakavyo shangiliwa na Wasudan wenyewe.Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao?
Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu.
1. Upumbavu
2. Unafiki
3. Chuki
Na mkwapge kama ngoma huko msiishie kusema halua haluaSubiri kesho uone Wananchi watakavyo shangiliwa na Wasudan wenyewe.
Na wewe ulikuwa unatuabisha na huo upumbavu? Nyie mlisababisha yanga wote tuonekane hatuna akili isipokuwa watu wawili tu.Subiri kesho uone Wananchi watakavyo shangiliwa na Wasudan wenyewe.