Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona inatisha hiyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji104] [emoji104]
DildoDirdo
Umesahau uwepo wa ashakum bandiaZikafuatia kucha bandia, kope bandia, ngozi bandia, matusi bandia, makalio bandia.....najiuliza tu baada ya haya yote kitafuata nini?
Uasili unatoweka kwa kasi kubwa
Lowassa bandia, kuzungusha mikono bandia... Ni hivyo tu sasa maana hakuna namna...